Yaani ukutane na Mzee Bakhressa kwenye probox!? Hata wakinga tu wenye maduka sinza wanatembelea land rover na prado..Huku Kenya utapata mtu anamiliki hio probox lakini ni C.E.O mzima ana makampuni lakini Tz eti naskia mtu anaendesha Mercedes na jamaa ni broke kutupa[emoji23][emoji23][emoji24].Hao jamaa wa probox usiwadharau utapata wanamiliki magorofa those guyz majority are tycoons
Probox gari ya kimaskini.Huku Kenya utapata mtu anamiliki hio probox lakini ni C.E.O mzima ana makampuni lakini Tz eti naskia mtu anaendesha Mercedes na jamaa ni broke kutupa😂😂😭.Hao jamaa wa probox usiwadharau utapata wanamiliki magorofa those guyz majority are tycoons
Hahaha!!kila mtu na maisha yake bana[emoji23][emoji23]Ila nyinyi mumezidi aisee hata kama ni punda musisahau punda anakufa pia[emoji23][emoji23]
Mi nawashangaa hawa majamaa wanaongea vitu wasivyovijua..Huku Kenya utapata mtu anamiliki hio probox lakini ni C.E.O mzima ana makampuni lakini Tz eti naskia mtu anaendesha Mercedes na jamaa ni broke kutupa[emoji23][emoji23][emoji24].Hao jamaa wa probox usiwadharau utapata wanamiliki magorofa those guyz majority are tycoons
korona itaisha kweli huku?
Hello???gari ni liability.Huwezi kupima utajiri wa mtu kwa kumiliki gariProbox gari ya kimaskini.
Unaongea nn? Ww kangalie wabongo wanao ishi South Africa alafu ndio uongeeSi wabongo
Na ww acha kutetea utopolo...au kwakua kachangia mkenya mwenzio?Mi nawashangaa hawa majamaa wanaongea vitu wasivyovijua..
Wengi wao sana sana huaga wana wholesales wanazomiliki..
Hahaha!!unamaanisha wale wanaorudishwa kw makundi makundi[emoji23][emoji23]Unaongea nn? Ww kangalie wabongo wanao ishi South Africa alafu ndio uongee
Niseme uongo kw faida ya nani, au we hutaki wanaomili appartments wasinunue probox kw ajili ya biashara zaoNa ww acha kutetea utopolo...au kwakua kachangia mkenya mwenzio?
Hii kitu haijagonga miaka 10 kweli? doh toka 2011! Yaani hili jengo na Lamu port yanashindana! Tony254 njoo ona mshindani wa Lamu port!
Acha kutuongopea Dada, labda ceos wa kioskHuku Kenya utapata mtu anamiliki hio probox lakini ni C.E.O mzima ana makampuni lakini Tz eti naskia mtu anaendesha Mercedes na jamaa ni broke kutupa[emoji23][emoji23][emoji24].Hao jamaa wa probox usiwadharau utapata wanamiliki magorofa those guyz majority are tycoons
Hapa umenoa bro! Mkondo wa uchumi ambao mumechukua kwa sasa condemns the poor to more poverty n the rich to more wealth! Ndio maana masikini wa kutupwa wanaendelea kuongezeka kwa wingi in Tz kwa sasa mnaongoza ukanda huu na SADC, which is a sad thing! Watanzania wengi tu wamevuka border wanaendesha piki piki hapa Nairobi na kwingine, na wengine wamefungua vinyozi na salon ambao nawajua, they tell me themselves making a mininmum of ksh.1000( Tsh 22,000) kwa siku mfululizo in Kenya is easier for them than in Tz, ndio maana wanafanya biashara huku, pia hawkers kutoka kwenu pia wamejazana mbali na omba omba. Hakuna anae wasumbua. So hizi ni fikra zako tu za kizalendo, a feel good argument, kwa ground vitu ni different.😂kwa tanzania mambo ni tofaut vijana wengi wanatoboa hata kama wametoka kwenye maisha ya chini kabisa
Take it or leave it. Probox ni gari za kishamba.Hello???gari ni liability.Huwezi kupima utajiri wa mtu kwa kumiliki gari
Nyie tunawajua sana kama wewe hapo na mdomo yako kubwa huna chochote ata pikipiki.Nyie maccm tunawajua wazee wa buku saba kusema na kusema tuAcha kutuongopea Dada, labda ceos wa kiosk
Probox ni nyingi sana Nairobi [emoji16][emoji16][emoji16]
That's probably the best Majority can afford, unakuta Mwanaume mzima anaendesha probox, nafananisha na mademu huku Bongo wanavyoendesha ist,