Alikuwa ameshasema kuwa ameshashinda bila ushahidi wowote. Apparently anataka kwenda Supreme Court kudai kuwa kuna makosa yanafanyika kwenye zoezi la kuhesabu Kura.sijawahi kuona incumbent president analalamika.. it’s only Trump ... Biden will pull through [emoji1491]
View attachment 1619516
Analalamik kwanin wanatup zile karatas(e mail) bada y kuhesab...anadai wataziesab upyaaAlikuwa ameshasema kuwa ameshashinda bila ushahidi wowote. Apparently anataka kwenda Supreme Court kudai kuwa kuna makosa yanafanyika kwenye zoezi la kuhesabu Kura.
Si wabongoKumbe unaonekana huwafaham binadam vizur? Binadam hata umpeleke wapi anaweza pamban na nature au kuadopt it....
Naona mnaskia uchungu kuskia km subaru hku vijana wengi wanamiliki[emoji23][emoji23]Kwa kuiba labda manake vijana wanaoenjoy kenya ni wale waliotokea kwneye familia za matajiri na politician ila waliotokea kwenye maisha fukara kutoboa hua ni ngumu sana kenya tuseme ukweli tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwa tanzania mambo ni tofaut vijana wengi wanatoboa hata kama wametoka kwenye maisha ya chini kabisa
pro box mnamuachia nan?Naona mnaskia uchungu kuskia km subaru hku vijana wengi wanamiliki[emoji23][emoji23]
Msijali kawaida hyo kutuonea wivu uliopindukia
Subaru ni gari za kawaida sana tanzania naeza kwambia ni sawa na mtu anaemiliki altezza 😂😂😂😂😂Naona mnaskia uchungu kuskia km subaru hku vijana wengi wanamiliki[emoji23][emoji23]
Msijali kawaida hyo kuendekeza chuki
Pro box ndio gari zao za kujidai😂😂😂 zimejaa kenya kila konapro box mnamuachia nan?
kumbe ndo maana mlkuaga mnashangaa polisi tz kutumia vx
Ndio nlikua namwambia huyo mwenzako[emoji23][emoji23]Subaru ni gari za kawaida sana tanzania naeza kwambia ni sawa na mtu anaemiliki altezza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli zimejaa mashinani na watu wanazitumia ku ferry watu au ilikua unafikiria tutakataa..Pro box ndio gari zao za kujidai[emoji23][emoji23][emoji23] zimejaa kenya kila kona
Probox ni gari za biashara, ni ngumu sana kukuta mtu ananua probox kw ajili eti ya kujinadi..pro box mnamuachia nan?
kumbe ndo maana mlkuaga mnashangaa polisi tz kutumia vx
😂😂😂😂😂muna maisha magumu sanaNi kweli zimejaa mashinani na watu wanazitumia ku ferry watu au ilikua unafikiria tutakataa..
katika gari 10 kenya brobox ni 6Pro box ndio gari zao za kujidai😂😂😂 zimejaa kenya kila kona
We unafikiria probox kenya mfanyibiashara anaitoa kw shingapi[emoji23][emoji23][emoji23]katika gari 10 kenya brobox ni 6
Hyo ni punda bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muna maisha magumu sanaView attachment 1619590View attachment 1619591View attachment 1619592
Ila nyinyi mumezidi aisee hata kama ni punda musisahau punda anakufa pia😂😂Hyo ni punda bro[emoji23][emoji23][emoji23]
Inagawaje jamaa kw ubora wake wanazitumia kuvunja sheria lkn kitu nakwambia hyo gari haijui dhiki
Mwache dawa imuingie...sijawahi kuona incumbent president analalamika.. it’s only Trump ... Biden will pull through [emoji1491]
View attachment 1619516