Kura mmejichapishia wenyewe kutengeneza maigizo tu hamna lolote, plan yenu hiyo imefeliFuatilia comments zake kwanza.
Yeye anamkubali Raisi wenu na yote anayoyafanya
Ila hajakubaliana na mwenendo wa uchaguzi ulivyoenda... kukutwa kwa kura za mapema zikiwa tayari CCM wame tick sehemu zao, kuwazuia mawakala wa upinzani kwenye polling station, kutumia nguvu kwa wananchi na kukamata wapinzani, kule Zanzibar ndo speechless kabisa
Kama CCM ilijua itashinda kwa kishindo kwanini walifanya madudu namna hiyo!!?
Kwanini unakuwa na akili ya kujadili nusunusu? Kwani izo kura haziwezi kuwa zimetengenezwa n n upinzani ili kuichafua ccm? Hebu tuonyesheni aliye kamatwa na hizo kuraa ?Fuatilia comments zake kwanza.
Yeye anamkubali Raisi wenu na yote anayoyafanya
Ila hajakubaliana na mwenendo wa uchaguzi ulivyoenda... kukutwa kwa kura za mapema zikiwa tayari CCM wame tick sehemu zao, kuwazuia mawakala wa upinzani kwenye polling station, kutumia nguvu kwa wananchi na kukamata wapinzani, kule Zanzibar ndo speechless kabisa
Kama CCM ilijua itashinda kwa kishindo kwanini walifanya madudu namna hiyo!!?
Inashangaza sana.Jameni, hivi unawezaje kufurahia maendeleo ya nchi halafu ukampinga aliyefanikisha hayo maendeleo?
Mm binafsi nilimpigia Jpm tu cz sioni kazi ya wabunge wala madiwani, niliwapigia kura 2015 wakaniangusha kwa kurudi ccm, kwangu mm hyo niliitafsiri kama tamaa ya fedha na nina rafiki yangu diwani naye pia alinasa kwenye mkumbo huo huo licha ya kutumika nguvu kubwa kuhakikisha anashinda udiwani so tangu hapo nikasema hakuna upinzani Tz.Hawa wanaharakati wa twitter wamechangia pakubwa upinzani kushindwa kwenye huu uchaguzi wa mwaka huu,
Viongozi wapinzani ikiwezekana kujitenga na hao wanaharakati uchwara fanyeni hivo,
Wanaharakati uchwara wa twitter wanapotosha na unakuta nao viongozi wa upinzani wanaingia mkenge kwenye huo upotoshaji unaofanywa na hao wanaharakati uchwara,
Binafsi nilikuwa ni mwanachama wa chama kimojawapo cha upinzani tena na kadi nilikuwa nayo kabisa na ulikuwa huniambii chochote kuhusu hicho chama [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini upinzani walipoanza kujihusha na hawa wanaharakati uchwara waongo na wapotoshaji rasmi nilijitoa upinzani na sio mimi tu...wapo wengi kama mimi,
Sasa hivi sina chama ila namkubali JPM na ndio maana nilipiga kura ya urais tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Upinzani achaneni na hawa wanaharakati uchwara waongo na wapotoshaji.
Eeh ni kiingereza unashida 😂😂😂😂😂Kwa hiyo lugha yako ya mama ni kiingereza??!!..
AiseeeEeh ni kiingereza unashida 😂😂😂😂😂
Kenya haitowahi kupendeza mbele ya baba laooo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Kenya yapendeza zaidi
View attachment 1617730