What's going on dshkweli ni malofa kama kura zinakamatwa af aliekamatwa nazo hayupo yani walizikamata zikielea hewani
aliekamatwa nazo yuko wapi?
Hahahaha mkuu umenichekesha sana lakini pia hili nimelibeba kwa uzito unaostahiki piaAchana naye huyo jamaa ni Mkenya/Mjaluo hivyo hana mapenzi yoyote na Tanzania yetu, ukimuona hapa alikuwa anawanga Wakenya ni kwa sababu ya Raila, siyo kwamba hapendi Kenya kwao, bali ni kwa sababu wa Ujaluo wake hawapendi Wakikuyu, lkn ni Mkenya 100% umeona sasa makucha yake, next time kuweni waangalifu sana na watu wenye ndimi mbili, he is a two faced nigga, ...
😀 Unamkamata mtu halafu unachoma ushahidiHuyo aliekamatwa na hizo kura yupo wapi? Hata zile waliokua wakizichoma haonekani aliekamatwa nazo, Hakuna red-handed evidence at all
Ni hivi tu inaibuka wanazichoma na kura zenyewe hata 100 haifiki, wakati mtu kapitwa kwa kura zaidi ya laki na 20 😁😁😁
Hata mimi sikutegemea kabisa 😂😂Geza buana
Kumbe na wewe unaweza kuwaza hivi?
Someone comes to his senses after seeing the just concluded elections in Tanzania
before he was doing this
Geza hata kipindi kile cha corona alianza kupanic huku akilaumu hatua alizochukua JPM,Geza buana
Kumbe na wewe unaweza kuwaza hivi?
angalieni! hawa ndo walitaka tuwape nchi? what is this now??
What the hell? Is this real? 👀angalieni! hawa ndo walitaka tuwape nchi? what is this now??
Huwezi amini bado kuna wajinga wanakamatika kwa huu upotoshaji.angalieni! hawa ndo walitaka tuwape nchi? what is this now??
Geza anafeli
Japo server za fichuaTanzania zipo Kenya sasa hapa unabisha bila kuleta evidence kinzani? tukuelewe vp? leta evidence kwamba si jeshi letu, ukiwalaumu tu hao jamaa walio-post husaidii kutoa ukweli mzee!
Na hii?
zuzu wewe, njaa inakusumbuaKama Magufuli kaiba kura angedakwa na malori ya kura, huwezi kuniaminisha eti mtu anapitwa kwa kura kwa malaki, a nakuja na kaushahidi cha kura 20 never, ni mbinu ipi imetumika kupitisha kura zingine kwa maelfu imebumba kwenye hizo kura 20?
Na kama ndio walikua wakiingiza kura kidogo kidogo hivyo, wangekamata maelfu ya watu
mbona hukuongelea hilo? Take example upo mahakamani unamtetea mteja evidence hiyo imetolewa ukimjibu judge tatizo mimi ni mbishi nikiwa natetea na mie mteja wangu unadhani unashinda kesi? Mimi sijawahi kuiona hii video na japokuwa sijasema hiyo video ni legit ila siwezi kui-crash right away na kuidharau nikijua kuna vurugu za hapa na pale na watu zaidi ya 40 wamekamatwa!tatizo lako mbishi.. hio video niliwahi kuona kitambo.. huyo mtu alifumaniwaga!
tuseme umeshinda..