Uganda watakuwa na the biggest GDP ikiwa mtachelewa kucommercialise mafuta au Natural gas yenu. Nyie huwa mnafanya vitu polepole so sitashangaa mkipitwa. Kenya sisi tukipitwa angalau tuna excuse. Tutasema kuwa Mungu hakutubariki na natural resources.Wakati Uganda wanaizidi Tz kwenye gdp basi itakuwa ndiyo nchi yenye gdp kubwa zaidi ukanda huu, af usisahau kwamba hilo bomba lao la mafuta linapita kwetu so pesa nyingi pia tutapata lakini vilevile wakati huo Tz nayo itakuwa ishagundua mafuta yake.
Mind u, mafuta ya Uganda nasi pia tutapata pesa nyingi tu plus employment opportunities, lkn mafuta yetu yatakuwa ni yetu pekeetu so unaweza ku guess ni nani atakuwa the leading GDP country in the region btw Tz and Ug.
Chances za Uganda kuwapita ninyi ni kubwa kuliko sisi, we will grow with them simultaneously.Uganda watawapita kwenye GDP miaka kumi baada ya kuanza kuexport mafuta.
Tuko slow km tulipokuwa slow kwenye EACOP, Construction of electric railway lines, JNHP, yn nyie bado mnadhani hii ni Tz ya 90s wajinga kweli nyie watu yn mafundisho mnayo na mnaona but mmeamua ku live in denial.Uganda watakuwa na the biggest GDP ikiwa mtachelewa kucommercialise mafuta au Natural gas yenu. Nyie huwa mnafanya vitu polepole so sitashangaa mkipitwa. Kenya sisi tukipitwa angalau tuna excuse. Tutasema kuwa Mungu hakutubariki na natural resources.
Toa mauchafu hapa kila mtu anajua kinachoendelea Tz na Wakenya wote wanajua kilichobaki mnajisifu ni gdp ushuzi ambapo imebaki WB kufuta zile namba zen mchezo uwe umeisha.Bro bado uko kwa mashindano ya Kenya vs Tanzania? LET ME EDUCATE YOU A BIT BRO.
Slow but sure with MNC any African country has to be careful mzee! Barrick negotiations took over 3 years! To us if our interests r not covered then let the gas stay underground while local and regional commercialization keeps growing before that LNG for overseas export come onboard! After all more bargain power when one can demonstrate a growth in local n regional markets.Uganda watakuwa na the biggest GDP ikiwa mtachelewa kucommercialise mafuta au Natural gas yenu. Nyie huwa mnafanya vitu polepole so sitashangaa mkipitwa. Kenya sisi tukipitwa angalau tuna excuse. Tutasema kuwa Mungu hakutubariki na natural resources.
Hio video ni about Mineral rich nations such as Tanzania.Toa mauchafu hapa kila mtu anajua kinachoendelea Tz na Wakenya wote wanajua kilichobaki mnajisifu ni gdp ushuzi ambapo imebaki WB kufuta zile namba zen mchezo uwe umeisha.
Hii unaijua!?Hio video ni about Mineral rich nations such as Tanzania.
Sijaijua lakini nafikiri iko pande za kame za mashariki ya Kenya. kunani?Hii unaijua!?
View attachment 1613456
Unamuumiza roho unajua Wakenya wengi hawajua how much they lost from this EACOP, hawana habari hata South Sudan ita-join pia, wao wako busy kuiita South Sudan shithole wakati Uganda wanajenga infrastructure za kufa mtu wakati Kenya haina infrastructure kuelekea South Sudan! Believe me Uganda haitaiacha South Sudan ipitishe mafuta yake Kenya! Ur grandiose mentality will come to haunt Kenya badly my friend!Chances za Uganda kuwapita ninyi ni kubwa kuliko sisi, we will grow with them simultaneously.
Miaka 10?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Angola wanamafuta na tunawapita ndani ya miaka 3 Hii hao Uganda watasubiri sanaUganda watawapita kwenye GDP miaka kumi baada ya kuanza kuexport mafuta.
Je, kenya wanajivunia kutokunya ovyo!?Sijaijua lakini nafikiri iko pande za kame za mashariki ya Kenya. kunani?
Magufuli kawafundisha kitu viongozi wa Afrika, naona cku hz viongozi hawakai kai ofisini au kwenda kwenda ulaya, kabaki mmoja tu [emoji3][emoji3]Unamuumiza roho unajua Wakenya wengi hawajua how much they lost from this EACOP, hawana habari hata South Sudan ita-join pia, wao wako busy kuiita South Sudan shithole wakati Uganda wanajenga infrastructure za kufa mtu wakati Kenya haina infrastructure kuelekea South Sudan! Believe me Uganda haitaiacha South Sudan ipitishe mafuta yake Kenya! Ur grandiose mentality will come to haunt Kenya badly my friend!
Tony254
MY TAKE
The truth is aside the pipeline that went to Tanzania, whoever that connects Uganda first with SGR is rest assured of all these benefits! So far Tanzania is leading in this front be it rehabilitation of MGR or be it wagon ferries in Lake Victoria or be it SGR construction (3rd phase is to be tendered on 25th November)!
Angola GDP ipo chini ya Tanzania as u speak! Global oil price imewaporomosha!Miaka 10?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Angola wanamafuta na tunawapita ndani ya miaka 3 Hii hao Uganda watasubiri sana
Maybe, however as a black people tuko na njia ndefu sana kabla tufike 1st world Country. Mashindano kati yetu sisi waafrika furaha kwa mabeberu.Je, kenya wanajivunia kutokunya ovyo!?
OhoooAngola GDP ipo chini ya Tanzania as u speak! Global oil price imewaporomosha!
Siku hizi umeanza kujua msamiati wa ubeberu.Maybe, however as a black people tuko na njia ndefu sana kabla tufike 1st world Country. Mashindano kati yetu sisi waafrika furaha kwa mabeberu.
Imekuwa safari na sio ya mwaka moja bali ni miaka kadhaa.Siku hizi umeanza kujua msamiati wa ubeberu.
Yeah and we want more than ThatOver 55% of cargo to DRC inapitia Dar port!