Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

this is what ur posting pamoja na filter laki moja lakini mambo ni hayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 1612261
Kwani kuna ubaya gani kwenye hio picha? Mombasa imeendelea hata kushinda hio Mwanza unayoringa nayo. Mwanza ina port? Airport ya Mwanza inabeba abiria wangapi? Mwanza ina bridge ngapi? Mwanza ina hoteli 4 star au 5 star ngapi? Usilinganishe Mombasa na uharo wenu wa Mwanza. Okay?
 
bro acha ujinga basi just be serious mm mombasa hakuna kitu utanidanganya, mombasa ina port kubwa kwasababu iko baharini mbona kma huna akili vile

kwnye subrub mwenzio kakiri na kukimbia mbioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wacha panganga nyingi,post zote mpaka uswazi wa mwanza tuona ukiweza mombasa
uhehehehhehehehehehehrhhehe mwenzio kakimbia jana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na hutaskia anaiongelea tena mwanza
 
Usiingize watu wengine hapa,nataka kuona mwanza ikichapa mombasa peupe
uhehehehhehehehehehehrhhehe mwenzio kakimbia jana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na hutaskia anaiongelea tena mwanza
 
Usiingize watu wengine hapa,nataka kuona mwanza ikichapa mombasa peupe
nimekuruhusu uingize na hotels pia zikusaidie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ manake usije sema umeonewa
 
Sio mv Victoria bwana usitutie gundu! Mv Victoria IPO na inafanya kazi.


Watu wanachanganya Sana. Mv bukoba ndo ilizama ( na so far hakuna Ajali kama hiyo Africa nzima RIP)
 
Malaika Hotel Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…