Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ITX hio 👇👇👇👇
 
Hii mm nahisi ndio haswa yenyew sabab top speed yake ni 167km per hour...
 

naandika kama utani hapa ila,nawahakikishia hii train itasababisha maandamano makubwa sana inchi ya jirani[emoji28][emoji28][emoji28].
 
lakini niliwah kuskia zitaenda mpaka over 200km/hr usishangae zikawa hzo bro
Kweli, me mwenyewe nilimsikia Makame kipindi kile yupo ujenzi akisisitiza hilo na akasema, kutoka Dodoma kuelekea Mwanza ndio train itaenda kwa speed kubwa zaidi sababu eneo lipo tambarare sana na halina kona kona na milima kama Morogoro
 
Still poor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…