TYWIN LANNISTER
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 854
- 209
Anasema internal borrowing ni ya Central Bank pekee 😂😂😂 kweli upambavu umekita mizizi TanzaniaWewe internal borrowing uliskia ni lazima Iwe from Central Bank? Punguza ujinga.. Unadhihirisha udumavu/ulemavu wa kiakili.
Deni letu karibia NUSU inamilikiwa na benki za KENYA!! Nyinyi je? 😹😹
serious leo ww wakujifananisha na japan serious 😂😂😂😂👇👇👇Mwenyewe hujielewi. Ni kukurupuka tu kama kawaida. ULEMAVU wa kiakili.. Tena hadharani. Ushahamisha goli sasa hivi unaongelea largest creditor. HAHAHA
Lengo la kuitaja JAPAN kwenye mjadala ni jinsi deni lao mostly ni INTERNAL BORROWING which enables it's government to carry out its activities and even be able to become among the largest creditors.
Vivyo hivyo, Kenya karibu nusu ya deni INAMILIKIWA NA BENKI za Kenya (Internal Borrowing) and that's why we can still be able to go for more loans from other creditors.
Punguza ujinga, fanya research kuhusu INTERNAL BORROWING, mataga! 😹😹
Ukosefu wa hoja kichwani unakusumbua hadi unaropoka ropoka ushuzi tu mdomoni! Who are you by the way to command the moderator?Dona Kantri ushuzi, leteni mahindi na vitunguu tuyanunue. Mwenye kuanzisha "battle" mwenyewe alishaona ukweli akasepa MATAGA wamebakia kujifariji na ujinga 😹😹
Mods naomba uzi usifutwe, MATAGA wapate exposure 👇
Na haturingi
Haamini kuwa Kenya kuna benki zenye uwezo wa kukopesha serikali pesaWhich Bank specifically unazungumzia kilaza? 😂😂😂 internal borrowing unaelewa maana yake kweli ? How can Japan kopesha itself? Kenya hakuna kitu kinaitwa BANK OF KENYA, hehehehe , kuna commercial banks within the country that can loan the gov't.., unaropokwa tu ovyo ovyo😂😂😂😉 this time round mmebaki kutapatapa tu, hamna lolote😂😂😂😂
Wakiwa LDC World Bank ilikuwa inatumia 1$ kupima umaskini lkni sasa cheo imepanda World Bank inatumia 1.9$ kupima umaskini wameshutuka SanaLakini ripoti ya kuwatoa LDC hadi mido inkamu si ya kipumbavu sio?😹
Anyways, hiyo idadi ni ya wale maskini wa kutupwa. Hohehahe. Sasa tafakari wangejumuisha maskini wote hali ingekuwa vipi? Huo uongozi wa mabavu hautawasaidia. Africa kumetokea JPM wengi. Kina Mobutu na J. B Bokasa na juhudi zao zipo Wazi.
Kubalini yaishe, mjitahidi mjikwapue kutoka ufukara msije kusingizia kuonewa kila saa takwimu yasipowafurahisha.
na mbona imeingia middle income within 4 yrs hio je umejiuliza 😂😂😂 mbona unemplyment rate yake iko chini east africa, mbona haina njaa, mbona debt to GDP ratio yake ni ndogo east africa, etc au niendeleeMm hushangaa Sana nchi Kama Tanzania iko na kla kitu madini, amani udongo wenye rotuba lkni bado ni maskini mbna
Kumbe ni ujinga na upambavu wa wananchi
mbona imeingia sasa ww umeshtuka kuingia kwa tanzania for just 4 yrs of magufuli ww huoni ni ajabuWakiwa LDC World Bank ilikuwa inatumia 1$ kupima umaskini lkni sasa cheo imepanda World Bank inatumia 1.9$ kupima umaskini wameshutuka Sana
Kuwa middle income ni gharama 😁
Mm hushangaa Sana nchi Kama Tanzania iko na kla kitu madini, amani udongo wenye rotuba lkni bado ni maskini mbna
Kumbe ni ujinga na upambavu wa wananchi
Wakiwa LDC World Bank ilikuwa inatumia 1$ kupima umaskini lkni sasa cheo imepanda World Bank inatumia 1.9$ kupima umaskini wameshutuka Sana
Kuwa middle income ni gharama [emoji16]
Huu ndiyo usengelema unaowatenganisha Wakenya.Udzangamika msenangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Yah tuna kila kitu mpk reli ya umeme [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mm hushangaa Sana nchi Kama Tanzania iko na kla kitu madini, amani udongo wenye rotuba lkni bado ni maskini mbna
Kumbe ni ujinga na upambavu wa wananchi
Bado inajengwa??? 😂 😂Ubungo interchange bado iko UC,bado inajengwa haijaisha...mjomba bado huna hoja
Sasa ww punguwani jiulize ...kama tumetumia 1% tuna supply electricity nchi nzima, maji , hakuna njaa , tuna bus stations more beutiful than many airport in Africa, we about to lunch electric trains, we have phase 1 of BRT and phase 2 U/c....tumepunguza umaskini[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] najiuliza nyie fukara mtakuwa mnatumia less than quater of 1 %[emoji16]Kuliko nchi ya wajinga na vichaa.Yaani mlinyimwa ubongo
Wacha excuse za kijinga, ndiyo tuna mali nyingi na ndiyo tunazitumia kuwapiga gepu km hv ss tuna infrastructure ambazo ninyi hamna ila ninyi hamna infrastructure ambazo cc hatuna labda slums [emoji3][emoji3][emoji3]Mm hushangaa Sana nchi Kama Tanzania iko na kla kitu madini, amani udongo wenye rotuba lkni bado ni maskini mbna
Kumbe ni ujinga na upambavu wa wananchi