Magix Enga
JF-Expert Member
- May 24, 2020
- 610
- 449
Am very proud Kenyan despite kwasabbu sisi huwa hatukosi kulipa deni letu kama nyie.Nchi hii ilivyobarikiwa and developed na watu wenye bidii,creative, innovative and smart nikane kwanini.A very proud to be Kenyan๐ฐ๐ช๐ฐ๐ชHahahaha 7 trillion but workdone is equal to zero
Hivi huwa hamuoni aibu, yaani ingekua mimi ningekana uraia ๐๐๐
Soma content uelewe'Nilidhani Mataga waliwika humu eti TZ hakuna Corona.
Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 100 kupambana na Covid
dooh Geza Ulole ichoboy01 Ntaghacha kulikoni tena?
A very proud looted Kenyan ๐ ๐ ๐Am very proud Kenyan despite kwasabbu sisi huwa hatukosi kulipa deni letu kama nyie.Nchi hii ilivyobarikiwa and developed na watu wenye bidii,creative, innovative and smart nikane kwanini.A very proud to be Kenyan๐ฐ๐ช๐ฐ๐ช
Tanzania ishakuwa developed country?unafananisha developed country and developing country akili yako iko sawa kweli ๐๐๐๐
Huyo mkulima atazirudia tena๐คฃAta ikifika 20 Trillion ni yetu.Nyie mnashindwa kulipa tu deni la mkulima.Hamufai ata kuongea
Umesoma vizuri hiyo article kweli?huo mkopo ni kwa sababu ya kupunguza,makali ya kiuchumi yaliyotokana na Corona,na sio kupambana na Corona yenyewe.ukumbuke kuwa adhari za Corona ziligusa dunia nzima.acha mawenge buda๐๐๐Nilidhani Mataga waliwika humu eti TZ hakuna Corona.
Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 100 kupambana na Covid
dooh Geza Ulole ichoboy01 Ntaghacha kulikoni tena?
Ulemavu wa kiakili.. Tena hadharani.nani atawakopa sasa hvi kila mmoja anawakimbia mchina kashawachinja baharini kilichobakia sasa hvi ni kuuza nchi kwa ppp projects ๐๐๐๐
Wewe internal borrowing uliskia ni lazima Iwe from Central Bank? Punguza ujinga.. Unadhihirisha udumavu/ulemavu wa kiakili.Hahahaha Japan inakopa kwenye central bank of Japan, ninyi Bank of Kenya haina hata pesa ya kununua officepins ndio iwe na pesa ya kukopesha serikali? ๐๐๐
Waje tuu tutawakopehsa. Juzi nimeona profits za co-op bank pekee ni combined profits za the 10 best performing banks in Tanzania ๐น๐นNext naona wakikopa kutoka benki zetu๐
Kuliko nchi ya wajinga na vichaa.Yaani mlinyimwa ubongoA very proud looted Kenyan ๐ ๐ ๐
They robbed even your commonsense, pole ๐๐
Ngj keshokutwa hapo muuwane ndiyo uta proud vzr [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Am very proud Kenyan despite kwasabbu sisi huwa hatukosi kulipa deni letu kama nyie.Nchi hii ilivyobarikiwa and developed na watu wenye bidii,creative, innovative and smart nikane kwanini.A very proud to be Kenyan[emoji1139][emoji1139]
Unlike TZ waKenya we don't suffer from INFERIORITY COMPLEX. We strive to be among the best, so tukijilinganisha na developed countries ipo siku sisi pia tutafika hapo.so now adays u compare developed country and developing country ๐๐๐
Hata tukiuana, sitachoka kuwapenda akina akinyi na wambo๐คNgj keshokutwa hapo muuwane ndiyo uta proud vzr [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Speaking of hiyo story๐, itabidii nimeenda pale oyster bay ama samaki samaki kucelebrate๐โโ๏ธWaje tuu tutawakopehsa. Juzi nimeona profits za co-op bank pekee ni combined profits za the 10 best performing banks in Tanzania ๐น๐น
Hawana pesa, ni kudanganywa eti wamejenga kwa pesa za ndani huku behind the scenes wanakimbiza bakuli from Turkey to China ๐น๐น
Hii uchina wanaodharau ndio wanawakopesha lakini MATAGA ni nani?
Hahaha ATI BATTLE... WHAT BATTLE? ๐น๐นSpeaking of hiyo story๐, itabidii nimeenda pale oyster bay ama samaki samaki kucelebrate๐โโ๏ธ
Yah mpk ss tumetumia 1% only ya akili na ndiyo tumefanya haya mambo ambayo hayapatikani East and Central of Africa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Kuliko nchi ya wajinga na vichaa.Yaani mlinyimwa ubongo
Izi ni vitu normal na zimejaa uku Kenya but since ni third world naelewa it's a big deal to u guyz๐๐Yah mpk ss tumetumia 1% only ya akili na ndiyo tumefanya haya mambo ambayo hayapatikani East and Central of Africa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1606334View attachment 1606335View attachment 1606336View attachment 1606338View attachment 1606339
Yn unaongea ww lkn aibu wanasikia Wakenya wenzako, na ndiyo maana tukasema Nairobi haina kitu ambacho Dar haina ila Dar Ina vingi ambavyo Nairobi haina ss mnataka battle gn hapo mbn ni unfair kabisa.Izi ni vitu normal na zimejaa uku Kenya but since ni third world naelewa it's a big deal to u guyz[emoji23][emoji23]
huo sasa wivu yani kutangaza modern electric train zinatoka south korea mushaanza majungu ๐๐๐๐๐Ulemavu wa kiakili.. Tena hadharani.
Mbona mchina anazidi kutukopesha? Ama uliskia mchina anakopesha project ya SGR pekee?
Nyinyi subirini muone kama bakuli mnayotembeza angalau litarudi na kakitu ๐น๐น
Isije ikawa mkulima kashika treni zenu kutoka Korea sababu ya kushindwa kulipa. Dawa ya deni ni kulipa ๐น๐น
Moody ratings za Kenya despite kuwa na deni kubwa hivyo ni far much better than ratings za Tanzania despite nyinyi kuwa na deni Kidogo kutuliko ๐น๐น๐น