kama sio wazembe basi ni wajinga munaenda kuingia kwenye commercial loans kisa mzungu anataka ufate matakwa yao alaf leo unashangaa debt to gdp ratio imehara kabisa 😂😂👇👇👇Kwa hivyo? Hilo lilishabainika pindi janga lilipo jitokeza. Na usishtuke kuskia uchumi wetu ulikua wakati huu wa corona kwa sababu waKenya si wazembe kama nchi fulani. Mwishowe tunaelekea kuwa double kiuchumi na msipochunga tutawatriple mkiimba nyimbo za kuipiku Kenya 😹😹😹
Nyinyi maskini mkiingiza a clean unit direct from south korea ndio mwaeza kutuponda...hata hiyo sgr yenu hamjakamilisha hadi wa leo.maskini ya Mungu refuebrished DMU 😂😂😂😂😂😂😂
eeeeh Mungu tupe umri tuone mengi juu ya dunia hii😁😁😁😁
sindano zimekuingia vyema 👏👏👏Poleni
sisi hatununui vitu kwa pupa nchi nzima tena developing country bado muna akili ya kununuq vitu refubrished alaf unachekelea mwenyewe 1.1b ksh for 8 units alaf mwenyewe unakenua meno😂😂😂😂😂Nyinyi maskini mkiingiza a clean unit direct from south korea ndio mwaeza kutuponda...hata hiyo sgr yenu hamjakamilisha hadi wa leo.
Mnahitaji miaka mingapi?
Usijali madeni sio shida tutalipa...sisi we r banking on the growth of our economy.kama sio wazembe basi ni wajinga munaenda kuingia kwenye commercial loans kisa mzungu anataka ufate matakwa yao alaf leo unashangaa debt to gdp ratio imehara kabisa 😂😂👇👇👇
View attachment 1606292
Sema unangoja kuona "The first Bullet trains brand new in Africa", hatununui vyuma chakavu.Nairobi Commuter Rail service almost ready to be launched[emoji108]
Hapa yafanyiwa tests
Mataga wa Ccm, sisi twangoja zile zenu kutoka South Korea ziingie nchini
🤣🤣🤣 bora ipige kazi...hizi misifa midogo mnazopenda ndizo zinawafanya muwe poor🤣sisi hatununui vitu kwa pupa nchi nzima tena developing country bado muna akili ya kununuq vitu refubrished alaf unachekelea mwenyewe 1.1b ksh for 8 units alaf mwenyewe unakenua meno😂😂😂😂😂
Dua zipi? Kutoka kwa nani? Yaani mmebakia kujishukushuku kila wakati sababu Kenya. Ndio maana sisi huwakejeli kila siku sababu ya INFERIORITY COMPLEX yenu.hatujaathirika kwa maana corona ipo kwetu hakuna isipokua hata watalii wamepungua na bishara pia zimepungua na sio kwamba corona ipo tanzania hakuna my friend sisi tupo na tunaendelea na maisha kama kawa 😀😀😀 na zile dua zenu sijui zilifkia wapi
vitu vilivoagizwa mzee ni motoo from south korea brand new electric modern high speed train budaaaNyinyi maskini mkiingiza a clean unit direct from south korea ndio mwaeza kutuponda...hata hiyo sgr yenu hamjakamilisha hadi wa leo.
Mnahitaji miaka mingapi?
Hamuwezi kuweka umeme katika reli iliyoishia porini, malizeni deni ya mchina kwanzaHalafu unadhihirisha udumavu wa akili kulinganisha SGR na MGR. TOTALLY DIFFERENT things, ila tunawavumilia kwa sababu ya ukosefu wa exposure.
Ya Pili, usiwe na shaka. SGR yetu utakuwa upgraded to electric wakati wake ukifika. Sisi hatukurupuki kufanya vitu eti kisa jirani ametekeleza. Nyie on the other hand hata hamjielewi. Mnabaki kuwa laughing stock wa EAC.
HAHAHAHAH mods saa zingine ni vizuri kuficha aibu kwa Watanzania kwa ku ban wajinga kama hawa.
tujishuku vp wakat mliomba dua miezi mitano iliopita mukasema kutakua na mass death in tanzania leo mumesahau lakini cha ajabu dua la kuku halimpati mwewe😂😂😂😂😂😂Dua zipi? Kutoka kwa nani? Yaani mmebakia kujishukushuku kila wakati sababu Kenya. Ndio maana sisi huwakejeli kila siku sababu ya INFERIORITY COMPLEX yenu. View attachment 1606299
Tafuta mtafsiri kama huelewi ☝😹😹
Ziwe brand new ama used...bora zipige kazi. Sisi hatujali kuhusu misifaSema unangoja kuona "The first Bullet trains brand new in Africa", hatununui vyuma chakavu.
😂😂😂😂😂😂 SGR imeishia poriniHamuwezi kuweka umeme katika reli iliyoishia porini, malizeni deni ya mchina kwanza
Na ni sawa pia. Mbona mnataka ku force tufanye vitu kwa sababu mnafanya? Kenya hatukurupukwi kama nyinyi. Sisi kama wananchi tunafurahia ujio wa hivyo vyuma "chakavu" kwa sababu mbali na kutupunguzia gharama ya kununua vitu mpya, bado yatafanya kazi iliodhamiriwa.Sema unangoja kuona "The first Bullet trains brand new in Africa", hatununui vyuma chakavu.
dunia inakwenda mbele sio kurudi nyuma 😂😂😂😂 nendeni na wakat mchina kawatia vidole matakoni na reli mumeisusia maporini🤣🤣🤣 bora ipige kazi...hizi misifa midogo mnazopenda ndizo zinawafanya muwe poor🤣
How many cars in TZ ni secondhand ??? Si za fanya kazi?
Corona imewapita lakini vifaranga vya alshabaab vikona nyinyi🤣tujishuku vp wakat mliomba dua miezi mitano iliopita mukasema kutakua na mass death in tanzania leo mumesahau lakini cha ajabu dua la kuku halimpati mwewe😂😂😂😂😂😂
Hizo ni private cars, serikali yetu kamwe haiwezi nunua used cars au trains, ninyi hadi silaha za Jeshi mnanunua used[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora ipige kazi...hizi misifa midogo mnazopenda ndizo zinawafanya muwe poor[emoji1787]
How many cars in TZ ni secondhand ??? Si za fanya kazi?
Treni hamjamaliza ujenzi miaka mingapi?Hamuwezi kuweka umeme katika reli iliyoishia porini, malizeni deni ya mchina kwanza
vifaranga vya alshabab vya kutokea wapi??? alshabab na tanzania wapi na wapi na lini na wapi???😂😂😂 alshabab simunao huko kila siku wanawanyoa vuzi hukoCorona imewapita lakini vifaranga vya alshabaab vikona nyinyi🤣
Ukweli unauma ahahahaa! Kibera boy sometimes learn to accept the truth coz it will make you free. A low speed (80kph) SGR kama yenu ni sawa na upgraded MGR yetu ambayo speed ni almost the same. Treni na Mabehewa ya hiyo SGR yenu ni sawa kabisa ya MGR yetu tena nadhani baadhi ya mabehewa ya MGR yetu ni mazuri zaidi. Pia SGR train zinazotumia dizeli katika karne hii ni sawa tu na MGR ya karne ya 20. By those facts you should humbly kneel down and accept the bitter truth you idiot!Halafu unadhihirisha udumavu wa akili kulinganisha SGR na MGR. TOTALLY DIFFERENT things, ila tunawavumilia kwa sababu ya ukosefu wa exposure.
Ya Pili, usiwe na shaka. SGR yetu utakuwa upgraded to electric wakati wake ukifika. Sisi hatukurupuki kufanya vitu eti kisa jirani ametekeleza. Nyie on the other hand hata hamjielewi. Mnabaki kuwa laughing stock wa EAC.
HAHAHAHAH mods saa zingine ni vizuri kuficha aibu kwa Watanzania kwa ku ban wajinga kama hawa.