Nawashangaa sana.. Mizigo karibia 80% inayopakuliwa Dar hubakia huko huko Dar slum. Sasa hii SGR ya kukurupuka sababu Kenya imejenga nangoja kuona losses zake "mwakani". That is kama GoT hawataficha ripoti zao.Nusu ya population yenu ni maskini wa kutupwa hawana huo uwezo wa kuabiri reli ya sgr, mnajengea nani?
Dar iko Mbele ya NAIROBI kwa kipi? Hebu tusimulie tupate uhondo.Mm Wakenya huwa nawa zoom af nacheka sn mnapojisumbua kulinganisha Dar na Nairobi cjui mnamaanisha nn yn, Dar kwa ss iko mbele ya nairobi mkubali au mkatae numbers don't lie.
Hahahaha nani kakudanganya?Nawashangaa sana.. Mizigo karibia 80% inayopakuliwa Dar hubakia huko huko Dar slum. Sasa hii SGR ya kukurupuka sababu Kenya imejenga nangoja kuona losses zake "mwakani". That is kama GoT hawataficha ripoti zao.
Anyway, we wish them all the best.
Kama tupo 8th globally at 29% (14m) basi TZ mmeshikilia namba moja au mbili. πΉπΉ8th globally π₯Άπ₯Άπππ
2020 report latest ππππKama tupo 8th globally at 29% (14m) basi TZ mmeshikilia namba moja au mbili. πΉπΉ
Yaani 28million people? 48% halafu wewe shida yako ni Kenya kuwa 8th globally? Dooh, silipiii Netflix hii month. πΉπΉ
Huyu naye mlevi wa wapi huyu? Ss hicho chakula tunachowaleteeni huoni km itarahisisha usafiri wa fasta na kwa bei ya chini?Nawashangaa sana.. Mizigo karibia 80% inayopakuliwa Dar hubakia huko huko Dar slum. Sasa hii SGR ya kukurupuka sababu Kenya imejenga nangoja kuona losses zake "mwakani". That is kama GoT hawataficha ripoti zao.
Anyway, we wish them all the best.
Nairobi kuna BRT? Nairobi kuna reli ya umeme? Tuanzie hapo kwanza af na ww niambie nairobi kuna kipi ambacho Dar hamna [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dar iko Mbele ya NAIROBI kwa kipi? Hebu tusimulie tupate uhondo.
Dooh, JF ni raha sana kwa vichekesho. Yaani hakuna haja ya kulipa subscriptions za Netflix hataa [emoji81]
habari inajieleza au ww kiswahili hukijui ππππππNilidhani Mataga waliwika humu eti TZ hakuna Corona.
Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 100 kupambana na Covid
dooh Geza Ulole ichoboy01 Ntaghacha kulikoni tena?
Mbona itupe mawenge ilhali yetu inafanya kazi miaka tatu Sasa. Abiria karibu milioni 5 washaatumia SGR yetu. Mizigo kupitia SGR yanazidi kuongezeka maradufu. Yaani maisha rahaa, halafu tuiwaze reli yenu ambayo hata halijulikani ujenzi wake wapi na wapi, hamna uhakika mtakopa wapi pesa za kulijenga n.k?Hahahaha nani kakudanganya?
Yaani hii inaonesha namna gani sgr yetu inawapa mawenge, halafu hata tukiamua kuifanya ya abiria tu bado ni moja ya social services na bado faida itapatikana na sababu hatudaiwi na mtu
Nyinyi mna reli ya umeme? Tuanzie hapo kwanza.Nairobi kuna BRT? Nairobi kuna reli ya umeme? Tuanzie hapo kwanza af na ww niambie nairobi kuna kipi ambacho Dar hamna [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
habari inasema kachukua mkopo kupunguza athari za kiuchumi zilizoathiriwa na covid 19 au kiswahili ww hukijui ila wakenyaπππππNilidhani Mataga waliwika humu eti TZ hakuna Corona.
Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 100 kupambana na Covid
dooh Geza Ulole ichoboy01 Ntaghacha kulikoni tena?
nashangaa kiswahili hajui kukisoma alaf anashabikia πππππMbona wakenya ni wapumbavu sana, utalii umeanguka kwa 30% zikiwa ni moja ya Corona effects.
Naona reli ya kuni apo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Nyinyi mna reli ya umeme? Tuanzie hapo kwanza.
Kwa hivyo maskini wengi wapo nchi gani? KE au TZ. Ukinipa jibu sahihi sichangii huu uzi tena.2020 report latest ππππ
Mpo million 25 View attachment 1605983
ipo na ujenzi wake upo 95% au hutakiNyinyi mna reli ya umeme? Tuanzie hapo kwanza.
Kwa hivyo mbona hamkutupa amani tukipata mikopo yetu sababu Corona? Kweli nyani haoni kundule.habari inajieleza au ww kiswahili hukijui ππππππ
View attachment 1605985
πππππ hujui kusoma auKwa hivyo maskini wengi wapo nchi gani? KE au TZ. Ukinipa jibu sahihi sichangii huu uzi tena.
Vivyo hivyo BRT ya NAIROBI ipo na ujenzi wake 3% au hutaki? πΉπΉipo na ujenzi wake upo 95% au hutaki
kwan hujui corona imeharibu uchumi wa dunia au unataka tufundishane mbona unakua kama bogusK
Kwa hivyo mbona hamkutupa amani tukipata mikopo yetu sababu Corona? Kweli nyani haoni kundule.
JF raha. Dooh, NETFLIX silipiii πΉ
iko wapi tuoneshe sehemu munajenga BRT πππππVivyo hivyo BRT ya NAIROBI ipo na ujenzi wake 3% au hutaki? πΉπΉ