Asante kw kujifariji na vitu vya zamaniNa hz ndiyo nyumba za polisi wao yn wanashida mpk matakoni wajinga hawa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1602489View attachment 1602490
Hakuna ushahidi km hzo ndege ni za kwenu, ama unatuonyesha hilo pachiko hapo chini[emoji23][emoji23]Asante sana [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1602562
Hzo zinadunguliwa kw haraka sana[emoji23][emoji23]Mnyamaaa the one and only in East and Central of Africa inaitwa H215 cougar ziko mbili tu East and Central[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1602623
Kuna watu wanamiliki hizo wewe unakuja kuturingishia hapalabda hujataka kuangalia [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1602626View attachment 1602627
Zezeta hilo, akiona kumeandikwa tanzania yeye basi huanza kunengua tayariHivi wewe unakuanga na akili kweli?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tangu lini Tanzania ikawa na flag ya pure green? Tangu linindege za Tanzania zishawai andikwa kwa lugha ya kiarabu? Acha nikujulishe kuwa hizi ni ndege za Tunisia.
View attachment 1602659
hamna anayejua chupi ni nini hapa....! kisado cha mahindi unapewa bunduki yaani ni barter trade!
Komora nahitaji elimu kuhusu mfumo wenu wa county ivi kwa mfano nairobi ni county moja au inaconstitute county nyingi??? Na mombasa je? Na governor huwa anaongoza county au cities? Na M.P na governor nani anakuwa na sehemu kubwa ya kitawala as i know governor wa mombasa ambae ni maarufu kidgo huku kwetu ananguvu sana mombasa i can say labda ni next after presidnt kwa pale mombasa hii ina maana ni ivyo kwa magovnor wote??Zezeta hilo, akiona kumeandikwa tanzania yeye basi huanza kunengua tayari
Hii ni battle ya Tz vs kenya tunapoweka slums za kenya unatakiwa uweke slums za Tz, ss cha ajabu cc tunaweka za kenya nyie mnaweka za SA which simply means there aren't slums in Tz ila tukisema hakuna slums Tz mnalia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa ina maana kwa fikra zako finyu Dar is ahead of South African cities because they have such poor zones? Wewe ni fukara wa kimawazo[emoji23][emoji23][emoji23] Dar is better than Manila, Sao Paulo na Jozi combined yet low life poor auality residential ni 80%+.,
South African slums to you makes Dar to level?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Slums in SA..
View attachment 1602912View attachment 1602913
View attachment 1602914[emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]nacheka mawazo yako yalivyo!
Yenu on average low life ni 70-80%., in Dar., inajulikana, the argument I was disputing ni reasoning ya low life mwenzako, trying to use an excuse that can't hold water. Dar your place is clear! Underdog!Hii ni battle ya Tz vs kenya tunapoweka slums za kenya unatakiwa uweke slums za Tz, ss cha ajabu cc tunaweka za kenya nyie mnaweka za SA which simply means there aren't slums in Tz ila tukisema hakuna slums Tz mnalia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Niliwashangaa sn viongozi wa ccm kukodi ile helikopta ya kenya nadhani ni saboteur walitaka kufanya yao ila Magu kawastukia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]