Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haters kama wewe lazima wakue., which Kariobangi watu wanalala njaa?😂😂😂 Uhunye lazima ashambuliwe na kupongezwa in equal measure., sio kama mukulu wenu hamuwezi mukosoa ama kumkejeli openly. Balaa😂😂😂
 
Nature also has exposed Tz from overrated propagandas. Poleni lakini, kueni wapole zazingine.
Jamaa wanaficha habari, kazi ni magazeti kusifu magufuli na miradi ambayo haikamiliki.

Lakini kwa ground ni magaidi, mafuriko, mauaji na utekaji nyara
 
🙂 Mchina now is after konza anina
 
Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani ambayo wananchi wake wapo na Chakula cha kutosha, maji, umeme na malazi bora?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa wanaficha habari, kazi ni magazeti kusifu magufuli na miradi ambayo haikamiliki.

Lakini kwa ground ni magaidi, mafuriko, mauaji na utekaji nyara
Hahahaha, habari zipi zimefichwa wakati vyombo vya habari vimetangaza, unataka rais ndio atangaze?, mafuriko yote yametangazwa, nini tena unachotaka kama sio wivu na hasira kwasababu hamna uwezo wa kugusa miradi inayofanyika Tanzania?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
DAR NI TAKATAKA TU KAMA TAKATAKA ZINGINE ..DAR KUMI NDO INAWEZA KUWA NAIROBI MOJA..

UKWELI NI KWAMBA SISI HATUNA JIJI LA KUFANANISHA NA NAIROBI.

HATUNA.

NAIROBI NI NEXT LEVEL.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] pale nyege zinafika kileleni na akuna wa kukusikiliza ....kamwambie nyanyayako uko ushago
 
Haters kama wewe lazima wakue., which Kariobangi watu wanalala njaa?[emoji23][emoji23][emoji23] Uhunye lazima ashambuliwe na kupongezwa in equal measure., sio kama mukulu wenu hamuwezi mukosoa ama kumkejeli openly. Balaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbana una catch ma feeling ww ....mtu wa slums acha uambiwe ukweli sio kulilia tu apa...dunia hii mnakufa njaa fukara nyie...
 
Of course.. you can't say a person with a rotten limb and very healthy looking torso is More healthier than yule yuko na upele wa surua... Would you!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu hudai SGR Tanzania itakuwa haina biashara!
Kwa 160km/h biashara itakwepo sana tu, ukiachilia mbali lisaa na nusu kufika moro au masaa matatu dom hata ikiwa masaa mawili moro na manne dom bado biashara itakuwepo. Wanachotakiwa ni kuwa on schedule tu na bei isiwe kubwa hizo ndio success factors, wakisema saa kumi na mbili asubuhi inatoka iwe hivyo.
Pia tena kuna maswala ya kuwahi shughuli za misiba na harusi, ambapo siku moja inatosha kuhudhuria na kurudi na bado kesho yake ukendelea na shughuli zako.
Pia kama umesafiri kwenda mwanza, bukoba na kigoma utaelewa, pia kuna mikutano, interviews kwa wale wanaokwepa gharama za accommodation.
Ukiwa moro au dom unaweza kuhudhuria interview ya saa mbili au tatu asubuhi kama kutakuwa na treni ya saa kumi usiku na saa nne ukitoka kumina mbili asubuhi achilia mbali maswala ya kiserikali
 
🙂 Kumbe ndio maana umeficha link
African countries with longest road networks - People Daily
 
Hahaha!!wanaume ni uwezo wala sio huo udubwasha wa auality...
Quality ni mambo ya kike hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…