Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeniona humu ndani leo...?? Au unazani Mimi jobless Kama wewe unae shinda JF muda wa kazi...Alafu unapotea usiku..??🤣🤣🤣
Najua mchana ulikuwa unawinda albino wakati mimi usiku huwa nalala. Hivi nikulizee, huwa unataka nikeshe hapa usiku nikifanya nini? 🤣 🤣 🤣
 
Na hapa waki update hii itakuwa ni aibu kubwa cz Tz inaongoza Afrika kwa ss ku electrify rural areas, yn mtake ndo hvyo mctake ndo hvyo.
2016

Stanford researchers use dark of night and machine learning to shed light on global poverty
 
Na hz ndiyo nyumba za polisi wao yn wanashida mpk matakoni wajinga hawa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwingine anasema ati Ethiopia haiko East Africa because they are not a member of EAC. Hawajui kwanza hiyo Ethiopia pekee ndio stress ya Kenya in this region, yani development ya hao watu inatisha.
Ethiopia: East Africa’s Emerging Giant
Nani aliyekuambia kuwa ethiopia ipo EAC,tangu lini!??..halafu we jamaa ni kilaza sana,ethiopia ipo eastern of africa geographically lakini haipo EAC,EAC ni community ambayo hata mtu wa north anaweza ku-join

Unashindwa kuelewa vitu vidogo kama hivi,utaelewa nini jamaa???
 
Nataka tusonge tu pole pole. Tuanze na hizi na uniambie ziko ngapi.
View attachment 1602485
Hii taarifa ina kila kitu kuhusu fighter jets za Tanzania, ila hizo Helcopters aina ya Airbus zilikua bado hazijanunuliwa.

Tafadhali weka taarifa kama hii yenye kuonyesha idadi ya Fighter jets za KDF, zikifika saba ninafunga akaunti yangu, hutoniona tena hapa.
African Aerospace - The rise and rise of Tanzania's Air Force

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…