The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Umechambua vzr na wamekuelewa, na ss ndo nimefahamu kwmb tuko mbali kwenye sekta ya electric connectivity tumegonga 7.87mil wakati Teargass anasema kenya wapo kwny 6mil nchi nzima [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Hii inshu ya umeme sijui kwanini inakua ngumu kuelewa.
Hii article inasema watumiaji wa umeme wa Rea, narudia tena watumiaji wa umeme wa RURAL ENEGY AGENCY, ndio wameongezeka kutoka 1mil+ to 2mil+ kumbuka hii ni kwa umeme wa rural pekee ambao hata mji mdogo kama wa mpanda haupo hapo sasa ukifanya percent ya household electricity consuption ya rural ambayo kwa sass ni 74% sawa na household 2.7mil ukijumlisha na urban electricity supply ambayo ni 94% sawa na household 5.87mil users unapata nchi nzima ya tanzania ina 84% electric supply to users.
Na hii evidence ni sisi wenyewe mtu ataje ni kijiji gani mwaka huu 2020 ameenda hakuna umeme? Obvious mimi kila kijiji nachotembea watu wana umeme. Na consumption ya tz kukijengwa biwanda itakua kubwa sana kwasababu saivi ni karibu kila raia anaishi kwenye umeme mpka 2023 nadhani tutakua 95%+ ndo mana serikali inaongeza vyanzo vya kufua umeme..
Ivi kwa akili yenu kweli 2.7 mli house hold Tanzania kweeeli?????
Sio rwanda au burundi hapana nitanzania ambayo ina mji mmja una watu 6+m
Mwanza kwa sasa 2.5m+ na miji mingine mingi inazaid ya 1mil populn afu wawe nq watumiaji wa umeme 2.7m chini ya UGANDa. Mh!!!!!
Hahaha!!naona unawafariji[emoji23]acha kupanic basi naww kwanza bikini umefua ???[emoji23]
mwanalumba pale anaposhindwa na hoka[emoji122][emoji122]Nini wewe leta hayo matako huku niyashughulikie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hey mbona unalenga hii [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kenya 2018- 18,000km
Keeping Kenyans Connected by Enhancing the National Road Network
Tanzania in 2020- 9,000km
Investing in East Africa's road sector to boost economic development
Umeona jinc serikali yenu inavyowachanganya kiasi kwamba hata nyie wenyewe hamjui exact figure.Kenya haizijui hzo statistics zao uchwara, data za 2018 zetu si jana mliletewa humu..ni 1,600km mbna mnazidi kuwehuka[emoji23][emoji23][emoji23]
Huo utopolo warudishieni wenywe, hata hawajielewi wameendika nn
Hapa ss safi kwenye umeme tumepiga na kwenye km of paved road tumewapiga now nahisi km tuingie kwenye afya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Data zenu zipi zaidi ya hizi? [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1602318View attachment 1602319
Wao ndio wamwchanganyikiwa, warudishieni hyo link[emoji23][emoji23]Umeona jinc serikali yenu inavyowachanganya kiasi kwamba hata nyie wenyewe hamjui exact figure.
Umeme 2.7 out of 10 ndio mkapata ile 84% ya says minister..Hapa ss safi kwenye umeme tumepiga na kwenye km of paved road tumewapiga now nahisi km tuingie kwenye afya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Teargass angalia 50/50 sharing inavyo work out hapo[emoji121][emoji121]
Anakimbia ngeli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ila we. Dada. Bana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji4]
Leo amembaka in out [emoji3][emoji3][emoji3]ila mzee katika siku umechezea kende zake vyema ni leo hongera sana[emoji119][emoji119][emoji23]
Jamaa wapuuzi kwel, yani wao ni fuata upepo tu hapa jf..tatizo tangu juzi wakileta tunawakamataK
Kama unataka kujua huyo jamaa ni fala, angalia hiyo article yake na hii ya Nation Media alafu ujiulize kwani hao walitoa data za kwa KNBS gani na Nation Media Walitoa yao kwa KNBS gani.
1,621km of roads paved in 2018
Tuonyeshe wapi waziri kasema km hyo 2.7 ni ya rural pekeeHii inshu ya umeme sijui kwanini inakua ngumu kuelewa.
Hii article inasema watumiaji wa umeme wa Rea, narudia tena watumiaji wa umeme wa RURAL ENEGY AGENCY, ndio wameongezeka kutoka 1mil+ to 2mil+ kumbuka hii ni kwa umeme wa rural pekee ambao hata mji mdogo kama wa mpanda haupo hapo sasa ukifanya percent ya household electricity consuption ya rural ambayo kwa sass ni 74% sawa na household 2.7mil ukijumlisha na urban electricity supply ambayo ni 94% sawa na household 5.87mil users unapata nchi nzima ya tanzania ina 84% electric supply to users.
Na hii evidence ni sisi wenyewe mtu ataje ni kijiji gani mwaka huu 2020 ameenda hakuna umeme? Obvious mimi kila kijiji nachotembea watu wana umeme. Na consumption ya tz kukijengwa biwanda itakua kubwa sana kwasababu saivi ni karibu kila raia anaishi kwenye umeme mpka 2023 nadhani tutakua 95%+ ndo mana serikali inaongeza vyanzo vya kufua umeme..
Ivi kwa akili yenu kweli 2.7 mli house hold Tanzania kweeeli?????
Sio rwanda au burundi hapana nitanzania ambayo ina mji mmja una watu 6+m
Mwanza kwa sasa 2.5m+ na miji mingine mingi inazaid ya 1mil populn afu wawe nq watumiaji wa umeme 2.7m chini ya UGANDa. Mh!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Umechambua vzr na wamekuelewa, na ss ndo nimefahamu kwmb tuko mbali kwenye sekta ya electric connectivity tumegonga 7.87mil wakati Teargass anasema kenya wapo kwny 6mil nchi nzima [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Tuonyeshe wapi waziri kasema km hyo 2.7 ni ya rural pekee
Mko na 2.7 million na kama unpinga leta evidence. That 2.7 million translates to 32%Umechambua vzr na wamekuelewa, na ss ndo nimefahamu kwmb tuko mbali kwenye sekta ya electric connectivity tumegonga 7.87mil wakati Teargass anasema kenya wapo kwny 6mil nchi nzima [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kwn hakujui uyo jeuri tu, ila akirudi usinsahau kiongozi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] someone needs to load common sense into your brain because you have zero intelligence and a low IQ . If that map is genuine, tell me how the Sahara lights up like that! Tell me The names of those cities that light up in the middle of the Sahara desert. Perhaps this map is from an alternate dimension [emoji23][emoji23][emoji23]but it’s definitely not from the world that you and I live in. Also, Why are the colors varied? Why Are Most European cities in yellow while those in Africa and the Middle East in pink and purple?
Shida yao hawasomangi links zenye wanaletaJamaa wapuuzi kwel, yani wao ni fuata upepo tu hapa jf..tatizo tangu juzi wakileta tunawakamata
Hyo ni rural areas kijana wacha kujifanya hamnazo so unataka kutuaminisha kwamba even Uganda ametuzd au co? And if so why is this [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mko na 2.7 million na kama unpinga leta evidence. That 2.7 million translates to 32%
Jamaa wanachukua na kupachika tu walai, yania jamaa analeta link inakuja kumuumbua mwenyweShida yao hawasomangi links zenye wanaleta
Do you Know the meaning of REA??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]