Tangu lini PPP ikawa loan? Wewe ulienda shule kweli?hio mpaka august 2020
sio juzi uhuru kaenda paris kuchukua loan au mulipewa bure haijaingia hapo ukumbuke πππ
ndio maana wachumi washakwambia jamaa anaondoka na 9trillion debt manake ishaanza kunusa harufu πππView attachment 1602047
Ndio nimekuambia unionyeshe any Highway in Kenya that is not paved.Niondolee hii takataka ya Jubilee bro, nataka tumalizane huko huko WB, nataka unioneshe neno paved highway kwenye huo utopolo uliouleta
Electricity tulishamalizana Tanzania iko na 32% connectivity rate.πππππ anahangaika manake kwenye electricity alikalia kuti kavu huko
ndio maana nimesema mumeingia kwenye project za ppp kwasababu hakuna wakuwakopa nyinyi na hapo ndipo mchina atawakamu vzr ππππTangu lini PPP ikawa loan? Wewe ulienda shule kweli?
Hapa hachomoki, pumbu zake ninazo zote mbili πππππππππ anahangaika manake kwenye electricity alikalia kuti kavu huko
nioneshe sehem nimesema ppp ni loan ukipata unitagTangu lini PPP ikawa loan? Wewe ulienda shule kweli?
Kwa hopitali Tanzania has a total of 9,000 hospitals. Kenya ziko 13,000.hospitali muzitoe wapi ??? hio electricity ina faida gani ikiwa hata access to electricity bado muko chini πππ
hzo uni ndio hua zinawafundisha huu ujinga munaoongea humu,
paved road ndio hzo munadangnya watu humu ndani ππππ kwamba kenya ndio nchi pekee chini ya jua kujenga 10000km within 2 yrs
ulimalizana na nani kwa vile ww ndio katibu mkuu wizara ya nishati tanzania πππππElectricity tulishamalizana Tanzania iko na 32% connectivity rate.
leta official source ukipata unitagKwa hopitali Tanzania has a total of 9,000 hospitals. Kenya ziko 13,000.
Si umesema alienda France kuongeza loan?nioneshe sehem nimesema ppp ni loan ukipata unitag
naomba bro uzitumie vzr tunazihitaji bado πππHapa hachomoki, pumbu zake ninazo zote mbili ππππ
Hahahaha unashindwa hata kutetea utopolo uliouleta kwa mikono yako mwenyewe, unategemea nini kama sio una akili mbatata? π π πNdio nimekuambia unionyeshe any Highway in Kenya that is not paved.
Mimi natumia maneno ya waziri wenu mwenye alisema wenye waekuwa connected ni only 2.7 million. Tukipiga hesabu na hiyo inakuja 32%ulimalizana na nani kwa vile ww ndio katibu mkuu wizara ya nishati tanzania πππππ
Hahahaha unashindwa hata kutetea utopolo uliouleta kwa mikono yako mwenyewe, unategemea nini kama sio una akili mbatata? π π π
Mtazidi kua na kilometers 11k kwa miaka mingine 20 ijayo kwa akili hii
Mi naangalia tu hapa nataka kuona huu mpambano unaishia wapi?πππππ anahangaika manake kwenye electricity alikalia kuti kavu huko
Na una sharp swiss knife sio??Hapa hachomoki, pumbu zake ninazo zote mbili ππππ
kwani alienda kuchukua nn makende auππππππSi umesema alienda France kuongeza loan?
ulimalizana na nani ww na hawa nani wanaakili zaidi πππππππMimi natumia maneno ya waziri wenu mwenye alisema wenye waekuwa connected ni only 2.7 million. Tukipiga hesabu na hiyo inakuja 32%