passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,837
- 13,071
Naona inawauma kuona Tanzania mpaka vijiji vya ndanindani kuna umeme yaani kati ya vijiji elfu 12 bado vijiji elfu 2 kupata umeme.World Bank sio wajinga wakisema kuwa Tanzanian connectivity rate ni 32% [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] .
Mbona zimefungwa kamba??ama wanabeba mifugo huko[emoji23][emoji23]Haya ndio mabasi ya Kenya ya mikoani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Intercounty busses [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1601687View attachment 1601688
Hata mkipenda manezapeleka umeme mpaka katikati ya Indian Ocean hakuna anayewakataza. But the question that will always remain is that, how many households are connected to electricity in that Indian Ocean?Naona inawauma kuona Tanzania mpaka vijiji vya ndanindani kuna umeme yaani kati ya vijiji elfu 12 bado vijiji elfu 2 kupata umeme.
hesabu gani wakat nyinyi tayar mushapiga hesabu hzo na munavopenda sifa mtaacha kupiga ww unafkiri unapoambiwa access to electricity 84% unaelewa nn??? manake mpaka uwe na akili ya kufkiria aiseeNa sisi tukianza kupiga hizi hesabu zenu za saint kayumba preparatory na ile figure yetu ya 5.9 million itakuwaje? Si mnaona mlivyo wajinga sasa!!
2.7m * 6 is how much???😂😂😂😂I said 2.7 million customers which are the same as 2.7 million households. If I go with your estimation of the number of people per household, then the total number of households in Tanzania is 56 /6. That brings about 9 million households in the entire country. So according to you, 2.7 million of 9 million ni 84%? 🤣 🤣 🤣
If I can trust my maths I think that will be:
If 9 million = 100%
What of 2.7 million= ?
2.7/9*100 =30%
So your electricity connectivity rate is 30%
kwan hapa tunaongelea nn nyumba moja wanachukua average ya watu sita so take 2.7m * 6 alaf upate number of people then tumia akili kusoma sio kuelimika pekee manake unaeza soma ukawa zombi tu😂😂Wewe unajua maana ya household kweli? In that 10 floors highrise every occupied inhabitable house is being counted as household. So hao watu 60 maybe wanaishi kwa nyumba sita tu kwa hiyo gorofa which brings the number of households to 6. Sasa shirika la umeme watasema kuwa they have six custumers kwa hiyo gorofa na sio 60. Hope umenielewa vizuri.
world bank walisema source ya 2015 so ikiambiwa 2020 kazi kmefanyika bado unashangaa nini 😂😂😂 wamekubali wenzenu nigeria utakua nyinyi mbuzi manake kwenu nyinyi tanzania ni aduiWorld Bank sio wajinga wakisema kuwa Tanzanian connectivity rate ni 32% 🤣 🤣 🤣 .
mm hua napinga kwa hoja sio maneno 😂😂😂 nimekupa official link za 2020 zaidi ya 20 bado unataka nn?? na huwez kubali kwasababu tanznaia ni adui yako na hata usipokubali ww haisaidii wala haizuii sisi kusonga mbele mark my wordsAchana na hao, nishawapigia hesabu legit nikapata 30%. Nangoja mwenye atakuja kupinga
fact will remain there hata uwehuke akili au uvae sidiria saaa hvi haitabadilika ukweli 😂😂😂😂👇👇👇👇👇Hata mkipenda manezapeleka umeme mpaka katikati ya Indian Ocean hakuna anayewakataza. But the question that will always remain is that, how many households are connected to electricity in that Indian Ocean?
Nyani [emoji205][emoji205]ako na iq ngapi?[emoji1787][emoji1787]Wewe kweli mbumbumbu. You can have access to electricity but you are not connected. Here we are more concerned about the total number of people CONNECTED to electricity, sio watu wanaoona nguzo za stima zikipita kilometer kumi kutoka waliko ila hawatumii umeme majumbani mwao. Tanzania mko na watu 2mln wanaotumia umeme ila Kenya kuna watu 6mln. Huoni kwamba argument yako ni ya kijinga?
kwao tanzania ni adui 😂😂😂😂Nyani [emoji205][emoji205]ako na iq ngapi?[emoji1787][emoji1787]View attachment 1601850
Sent from my TECNO SA1 using JamiiForums mobile app
16 million. Asante kwa kubali kuwa only 16 million Tanzanians wako na umeme 🤣 🤣 🤣2.7m * 6 is how much???😂😂😂😂
Mbona Kenya imewaka sana hivyo? Malazy nyie mpo gizani.Nyani [emoji205][emoji205]ako na iq ngapi?[emoji1787][emoji1787]View attachment 1601850
Sent from my TECNO SA1 using JamiiForums mobile app
Nani amekudanaganya wako na 15k km?🤣🤣🤣🤣. Bado wako na 12k.Nyie mna 15k za lami sisi tuna 21k. Sasa mshindi?
[emoji1787]Kwa hivyo hata sisi pia tuweke 5.9mlnx6? Vijisababu na visingizio hamkosangi!
Huko Turkana, Lamu na Mandera ni giza tororo! 3/4 Kunyaland haina umeme!Mbona Kenya imewaka sana hivyo? Malazy nyie mpo gizani.
Ushaanza kurudisha miaka nyuma? Wapi penye World Bank walisema source ni ya 2015?world bank walisema source ya 2015 so ikiambiwa 2020 kazi kmefanyika bado unashangaa nini 😂😂😂 wamekubali wenzenu nigeria utakua nyinyi mbuzi manake kwenu nyinyi tanzania ni adui
Mbona stima iko mingi Kenya kuliko Tanzania?