Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiona mtanzani amekomalia twitter ujue amekosa pakutokea..
Ni sawa na kichaa aliyeshikwa na njaa kali sana, sokoni akishika chungwa mtauwana hata km pembeni yapo mia
Mbaya zaidi hiyo tweet inaongelea road network ya 2009. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
sisi 2019 tumefkisha 13000km and 2000 ziko under construction mbona liko wazo kabisa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ na hatuna bla bla bla hapa
In 2009, Kenya`s paved roads were 11,000km according to WB but in 2019 tumefika 21,000km.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wanafurahisha sana
 
In 200
in 2017 umekubali mlikua na 11000km accorfing to world bank ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ so in 2yrs time mumejenga 10000km , pima akili yako bro kuna shida sehemu
In2009 tulikuwa na 11,000km, in 2019 tuko na 21,000km.
 
world bank inasema 2017 mlikua na 11000km sawa sio sawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa amekosa raha kabisa cku ya leo na kwa jinsi walivyokata tamaa na nchi yao basi huu ukweli wa kwamba wana km 11k only of paved roads utawafanya wapotee humu hata mwenzi, c mnakumbuka ubungo interchange iliwafanya walasusia thread?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ