Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pimbi unajivunia nyumba ya Babu yako.. Where is yours??
Kwani hizo ghorofa unapostigi ni zako kumaa mamako
d853a690df769684faa6b1ec7ad08902.jpg
this is my grandfathers house in the village about 300km from Nairobi same with kadodas houses
 
Si mweke picha za project ikiendelea like we did si kudownload other projects na kutudanganya
Nani akudanganye kwan kipindi munajenga sisi tuliwasumbua we subiri 2.5 yrs utaletewa mambo mazuri 😀😀😀😀😀😀
 
d853a690df769684faa6b1ec7ad08902.jpg
this is my grandfathers house in the village about 300km from Nairobi same with kadodas houses
Naendelea kupata majibu kwa nn wanaume wa Kenya mnapigwa na wanawake , mwanaume badala ujivunie nyumba yako uliyo plan mwenyewe apo Nairobi na kujenga kulingana na ndoto zako una leta ya babu yako ,poor grandfather ata rangi wameshindwa kupaka kijana uko Nairobi ata kumsaidia kununua rangi na white cement umeshindwa ww mwenyewe unakua ume rent dormitory
Maisha ya Kenya ya kimaskini sana ila pambaneni mtafanikia kama wa Tanzania
 
Kwani unataka ikae tausi...we huoni rangi hapo enyewe nyinyi wagonjwa
042854f27910727fda08e1d325b9c8cb.jpg
 
Hii ndio nchi wanasema ina uchumi mkubwa.....
Tukisema ukweli tunaonekana wabaya.....
Walioshika uchumi wa kenya wapo ulaya wanakula kuku kwa mrija waliobakia sasa kwangu pakavu tia mchuzi😀😀😀😀😀😀😀
"Nyani haoni kundule" umeona NANYUMBU PRIMARY SCHOOL, Mtwara? Tanzania, hapa hamna point! kuna shule nyingi za hali duni zaidi ya Kenya! nice debate though.
 
Kwani unataka ikae tausi...we huoni rangi hapo enyewe nyinyi wagonjwa
042854f27910727fda08e1d325b9c8cb.jpg
there sense of style is mostly old school! kama Mombasa old town, na ancient white painted buildings., Kenya is modelled after the west, its now ndio we are starting to blend with our culture., TD Jakes said; "...Nairobi has a western look.." when narrating his trip to Kenya to his people., a neutral person, not kenyan! find the clip.,
 
Back
Top Bottom