Inategemea ni v8 ya aina gani hyo inayomilikiwa na watu wa kawaidaV8 zinatumika na wakuu wa vitengo kenye department za serikali karibia zote.
V8 kwa sasa zimekuwa gari za kawaida sana TZ. Barabarani yapo mengi tu tena watu wa uswahilini kabisa wanamilk.
Nilikuwa na mkenya mmoja alishangaa sana kuona V8 zipo mpaka uswahili ndani ndani kabisa na watu wanazimilki.
Hzo ni escort jomba, na wala sijichanganyi..ya nyuma pia ni ya polisi PT, Umetaka V8 ilioandikwa polisi umepewa, unaanza kujichanganya sasa
Inategemea ni v8 ya aina gani hyo inayomilikiwa na watu wa kawaida
Hzo ni escort jomba, na wala sijichanganyi..
We mjinga sana. So unachotaka ni nini sasa?Hzo ni escort jomba, na wala sijichanganyi..
peogeot kwetu ni takataka hatuna mpango wakutumia hata raia wa kawaida hatuna mpango na gari zinaitwa pegeout naona v8 zimekutoa kamasi makalioni😂😂😂😂Ile siku utaleta hta peugeot iliyoandikwa polisi nitag[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaleta plates hapa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji382][emoji382]
ziko wapi tuoneshe basi ili nifunge acc sasa hvi 😂😂😂😂Kenya pia V8 na range hutumiwa na polisi, au wafikiria hawatumii..
Hzo ni gari za officials, huwezi ikuta tandale inatafuta inatafuta wahalifu
naona v8 zimemtoa kamasi mkenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1592171
Nlkua najiuliza lini itaanza kuingia zanzibar, plus Atc needs to exploit the london route soon.
Gari zetu za serikali zote ni GK buda[emoji23][emoji23][emoji23]ziko wapi tuoneshe basi ili nifunge acc sasa hvi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatubishani niwaambia ukwel, ikiwa OCD tu hatumii v8 gari lake ni land cruiser itakuja polisi wa kawaida [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawa wajinga sijui kama walikuwa wanaijua vyema tz[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22].
yaani jimeshangaa sana tunaanza kubishana kwenye vitu vidogo namna hiyo hawataki.
Kumaanisha serikali yenu huwa inacheza na plates!Bro we huwezi nambia kuhusu hyo sekta, najua kila kitu vile serikali hucheza na plates..
Km hakuna v8 iliyoandikwa polisi tulia tu
Mtawadanganya wengine, lkn ukwel haya ndio magari yanayotumiwa na polisi mitaani tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Tatizo zimeandikwa police, gari ya kucheza na plates ni km vile subaru n.k.Kumaanisha serikali yenu huwa inacheza na plates!
Basi hizo gari ulizopost sio za polisi ni serikali yenu imecheza na plates!
Tatizo zimeandikwa police, gari ya kucheza na plates ni km vile subaru n.k