Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huuu uchafu wa cave ndio three level [emoji23][emoji23][emoji23]
 
😀 Hii inaonesha ni jinsi gani hawa watu wanaonekana wazezeta tangu enzi za mababu zetu

Misheni town kibongo bongo unaweza kuta ana briefcase iko na mihuru na paper fake.. ila misheni town hapo nairobi unakuta briefcase iko na mawe ndani.... unakuta mtu amechomekea ila ameparara.. kanyonga tai ila kola ya shati yote imechanika haifai..huyo ndio misheni town wa nairobi....😂😂😂
 
Wanaishi maisha feki sana
 
Minango ya leo ni next level [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wanaishi maisha feki sana
Wana umasikini uliokithiri asee... on serious note kenya hali ya uchumi ni mbaya sana. Kuna gap kubwa sana kati la asienacho na alienacho.

Minango ya leo ni next level [emoji3][emoji3][emoji3]
Hao jamaa ni washamba sana mkuu, wewe fatilia tu maisha yao utaelewa.
 
Wana umasikini uliokithiri asee... on serious note kenya hali ya uchumi ni mbaya sana. Kuna gap kubwa sana kati la asienacho na alienacho.

Hao jamaa ni washamba sana mkuu, wewe fatilia tu maisha yao utaelewa.
Wakenya ni washamba mno wala haihitaji degree kugundua hilo, tangu nimekuwa humu ndani ndiyo nmewajua tabia zao halisi aisee hawa watu bado sana kwakweli.
 
Wakenya ni washamba mno wala haihitaji degree kugundua hilo, tangu nimekuwa humu ndani ndiyo nmewajua tabia zao halisi aisee hawa watu bado sana kwakweli.

Yani mkenya akishakuja Bongo au akiwa na marafiki kutoka Bongo ndio ana anza kuwa mjanja yani. Kuanzia kuvaa, kuongea na kupiga dili za maana na kupata chapaa.. tofauti na hapo kupata hela nairobi labda awe ametokea familia ya kitajiri..ila wengi wamejichanganya bongo na wanapata life poa tu ambalo kwa nairobi wasingeweza kulipata kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…