I posted this a few pages back wakaanza kusema eti nimeokota picha ๐ ๐Kwa Malazy wanaodhani kuwa Thika road pekee ndio ina magari mengi basi kuna barabara linaitwa Mombasa road. Hili jitu la barabara lina jam ya kufa mtu. Hii ndio maana tunajenga expressway hapa Mombasa road ili kupanua barabara hata zaidi. Expressway ni kama tu flyover lakini ni ndefu kushinda flyover. Hii picha ni ya Nairobi kwa wale watakaoshangaa kama ni picha ya Afrika.
View attachment 1587481
Kenya steering wheel huwa upande wa kulia wa gari kwa hivyo huwa tunakeep left. Yaani tunaendeshea upande wa kushoto wa barabara.Mzee baba hivi Kenya mnaendesha magari upande upi wa barabara. Samahani mimi sijawahi ata kuvuka mpaka wa Tanzania naomba tu kujua
Says who!!! Where are those polls which show that . You guys are dumb as hell. Yaani mnaota Kenyan coming to take your country.But it pains because majority of Kenyans don't like him
Ss nyomi km hilo lote la nn? What does it indicate? Roads insufficiency uh?Umewahi kuja Nairobi? Ama ni kuongea tu?
Hehehe tumefika hapa kweli? Kujisifu ujinga? Cc tunapambana kuondoa kero km hii watu wapo humu kusifu jam, Kenyans!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]Kwa Malazy wanaodhani kuwa Thika road pekee ndio ina magari mengi basi kuna barabara linaitwa Mombasa road. Hili jitu la barabara lina jam ya kufa mtu. Hii ndio maana tunajenga expressway hapa Mombasa road ili kupanua barabara hata zaidi. Expressway ni kama tu flyover lakini ni ndefu kushinda flyover. Hii picha ni ya Nairobi kwa wale watakaoshangaa kama ni picha ya Afrika.
View attachment 1587481
Mbn unapost picha za nje mkuu? Hapa ni Dar vs Nairobi.Hata sisi tunajua hizi ndio rangi halisi za barabara za Dar. Arguments zako zinakua za kijinga sana sometimes View attachment 1587511View attachment 1587512
Traffic snarlups like that one are common things in bigger cities around the world. Not because such cities luck bigger roads but because there are just too many cars on the roads. You are talking of road insufficiency wakati Nairobi ilianza kujenga barabara za juu wakati nyinyi bado ilikuwa ni ndoto kwenu. This is without mentioning the various bypasses that are complete and functioning. Again, this is something that's still in the pipeline in Dar. Kama kuna kitu hamfai kuongelea ni sekta ya barabara between Nairobi and DarSs nyomi km hilo lote la nn? What does it indicate? Roads insufficiency uh?
Hebu twende kwenye hyo sekta ya barabara tuone, mm naanza ww jibu twende taratibu na najua utapoishia, naanza na U/C na ww jibu U/C tumalizane af twende kwengine[emoji116][emoji116]Traffic snarlups like that one are common things in bigger cities around the world. Not because such cities luck bigger roads but because there are just too many cars on the roads. You are talking of road insufficiency wakati Nairobi ilianza kujenga barabara za juu wakati nyinyi bado ilikuwa ni ndoto kwenu. This is without mentioning the various bypasses that are complete and functioning. Again, this is something that's still in the pipeline in Dar. Kama kuna kitu hamfai kuongelea ni sekta ya barabara between Nairobi and Dar
Hahahaha kumbe ilishafika kote huko, me nilijua bado unataka kuona kilometers 1 ndio uamini kama electrified SGR inajengwa Tanzania ๐ ๐ ๐ ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟSgr jiwe bado inapumulia mashine, tangia november 2019 inacheza 75-80 percent[emoji23][emoji23]
Sasa kwanini foleni isiwe kubwa kwenye kajiji finyu kama Nairobi? Nairobi is two feet big na ninyi mnavyoishi kwenye cages kwa wingi sehemu ndio the situation being even more difficult and tense, sehemu ambapo watu wa Dar wanaishi 10, Nairobi wanaishi 300 sasa unategemea nini hapo?Kwa Malazy wanaodhani kuwa Thika road pekee ndio ina magari mengi basi kuna barabara linaitwa Mombasa road. Hili jitu la barabara lina jam ya kufa mtu. Hii ndio maana tunajenga expressway hapa Mombasa road ili kupanua barabara hata zaidi. Expressway ni kama tu flyover lakini ni ndefu kushinda flyover. Hii picha ni ya Nairobi kwa wale watakaoshangaa kama ni picha ya Afrika.
View attachment 1587481
Hahaha. Ndio nimeshawaambia wasianze kusema hii sio Afrika. Najua hawataamini Kenya tuna magari mengi hivyo. Mentality yao ni ati Kenya iko nyuma yao. Hawataki kukubali ati Kenya tumewashinda kwa karibu kila kitu.I posted this a few pages back wakaanza kusema eti nimeokota picha ๐ ๐
Wewe umewahi hata kula githeri ama unaropokwa tu kwa kitu usichokifahamu?anafkiri BRT is just like eating githeri alaf kuharisha yani simple like that๐๐๐
anadanganya watu humu wanajenga BRT
Ni kuwafutilia mbali mkuu....tupige kura za maendeleo na wala sio ushabikini mim tu sifatilii kampeni, ila siku ya uchaguzi tunaenda kupiga kura? kuna watu wanamakelele na uongo uongo mwingi naenda kuwastaafisha kisiasa!
Mwenyewe nkawa najiuliza, tangu lini jirani akawa na 16 lanes na udongo mweupe?Umeshaanza kuokota picha
neno BRT toa kwenye kichwa chako ๐๐Wewe umewahi hata kula githeri ama unaropokwa tu kwa kitu usichokifahamu?