Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata sasa hivi tunadhiirisha hilo .....Wakunya wanazamia sana Tz, boby.
 
Acha ujinga wewe ,fuatilia mlolongo wa posts,naowajibu ndio walileta siasa usipende kukurupuka kana kwamba kuna bwanako unataka kumfurahisha humu jukwaani.
 
kama hayupo sasa chuki ya nn kwa magufuli au alikuchukulia mke??😀😀 hili sio jukwaa la siasa kama una maumivu na siasa hapa sio pahala pake
Acha kiherehere sikukuita unikoti,nakujibu accordingly bila kujalisha utajichekesha mara ngapi.
 
chuki yako ww ni magufuli na huna jingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hvi kwa akili yako kuna mtu wakusimama na magufuli??
Labda ashindanishwe na tapeli wao Kenyatta, na mpambano wao ukafanyikie huko huko kwao kunyaland.
 
Baadhi ya machizi wanaohojiwa hapa wanaonekana kama wamekipuliza.

[emoji3][emoji3] Kweli mkuu. Jamaa wanaonekana hawapo sawa kabisa. Halafu mtangazaji bado anakomaa nao tu.

Sema hao Jamvi Tv, shots zao zamoto sana. Millard this time hajaweka drone shots.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…