ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,435
- 89,845
Hao ni wana ccm huwa nawapotezea wanatetea ugali wao,waambie wakaanzishe hizo mada zao kwenye majukwa yanayohusisha watz wengi uone kama watathubutu kwa sababu wanajua watapewa za uso huku wanajitutumua maana sio wabongo wengi wanapenda jukwaa hili.Hata saizi hawawezi kukuambia kwamba kampeni za Magu na nyimbo zake za sgr,stiglaz,flaiova sijui bomba zimebuma hutowasikia ilaukweli nao wanaujua kwamba Magu hawezi pita wala hakubaliki but anategemea tume na polisi.Watanzania wenzako watakuattack ila upo sahihi. Nakubaliana nawe.
Nimekuambia Egypt haina cruise missiles lakini wewe huwa unapenda kuignore mambo kama hakubaliani nayo hata kama ni kweli. Egypt haina cruise missiles. Huo ndio ukweli na hauwezi badilika. Halafu unajichanganya sana. Mara unasema Egypt itafanya targetted striking ya gates kisha unasema kuwa Egypt watatumia cruise missile kubomb hio dam. Cruise missiles ni kombora ya masafa marefu inayorushwa angani na kuangukia eneo fulani in a vertical position. Yaani cruise missile italand vertically on top of that dam na itatumika tu kuvunja kingo (walls) ila haiwezi kutumika kuvunja gates. Egypt ikitaka kuvunja gates itabidi itumie jets ili kubomb hio dam in a horizontal strike. Jets tu ndizo zinazoweza kuvunja gatesWakati mwengine huwa ninadhani kwamba haya ni mamba ya kawaida kila mtu anaelewa sihitaji kuwa very detailed kama ninafundisha darasani[emoji23][emoji23].
Actually sehemu nyeti zenye kugharimu pesa nyingi katika ujenzi wa dams ni hizo gates na sehemu za kufunga turbine za kuzalisha umeme, hizo kingo ni mchanga tu uliofanyiwa enforcement.
Hawawezi kujenga na Hakuna kampuni lolote litakalokua tayari kujenga tena kutokana na usalama wa wafanyakazi wao, tayari hilo eneo litakua limetangazwa kua ni target ya maambukizi ya kivita, Hakuna mtu atakayekuwa tayari kulikaribia, wakati wowote Cruse missiles inaweza kutua.
Mara ya kwanza wewe kutumia kiingereza. Na kiingereza chako ni swafi.Hahaha... it takes two to tango... seems we`re in the same pool.. huh.
Umekurupuka kujibu au? nani kasema usizalishwe? nachosema uzalishwe kulingana na mahitaji ya medium term walau mgwwt 500 ila sio kuzalisha umeme ambao hautumiki ukae tu huku gharama za kuendesha zikiwa pale pale ,haya ni matumizi mabaya ya kodi za umma,yaani huku ni kutokujua ufanye nini kwa wakati gani ndio maana mumenunua ndege afu mumezipaki zimekuwa kama za kukodisha.Kwamba ndege za masafa marefu zinapiga route za ndani,hizi ndio akili zenu huko lumumba au?umeme ni bidhaa inayohitajika kila siku,ukizidi mahitaji utauzwa nje.lakini sio kushauri eti usizalishwe.
unakuwa unafikiri kwa kutumia kitu gani labda!!!!!!
Kaka mbona kila mtu ameshajiandaa kwa matumizi ya nguvu na Ethiopia anaendelea kujaza hilo bwawa?, njia pekee ya kuzuia Ethiopia kuendelea kujaza na kuilazimisha kurudi katika meza ya mazungumzo ni njia ya kijeshi.
Are Egypt and Ethiopia heading for a water war?
Mara ya kwanza wewe kutumia kiingereza. Na kiingereza chako ni swafi.
Huyo ni Mtanzania hata kiswahili chake ni cha Kitanzania. ChoiceVariable wameanza kusema kuwa wewe sio Mtanzania.huyu kama ni mtz basi atakuwa na miaka 13.
huyu ni mtu asiyetutakia mema.na nina uhakika 100% ni mtu mwenye asili ya kenya.
Sasa ukisifiwa pia unakasirika?Hutapenda nikiingia katika huu ufala unaotengeneza... hivyo acha ujinga.
Tatizo lako wewe lipo hapo, unataka kila kitu nielezee kama nipo darasani ili uweze kuelewa, sio kwamba nina ignore baadhi ya vitu, huwa ninachukulia kwamba uwezo wako ni mzuri huitaji nianze kushuka chini nikuelezee kila kitu.Nimekuambia Egypt haina cruise missiles lakini wewe huwa unapenda kuignore mambo kama hakubaliani nayo hata kama ni kweli. Egypt haina cruise missiles. Huo ndio ukweli na hauwezi badilika. Halafu unajichanganya sana. Mara unasema Egypt itafanya targetted striking ya gates kisha unasema kuwa Egypt watatumia cruise missile kubomb hio dam. Cruise missiles ni kombora ya masafa marefu inayorushwa angani na kuangukia eneo fulani in a vertical position. Yaani cruise missile italand vertically on top of that dam na itatumika tu kuvunja kingo (walls) ila haiwezi kutumika kuvunja gates. Egypt ikitaka kuvunja gates itabidi itumie jets ili kubomb hio dam in a horizontal strike. Jets tu ndizo zinazoweza kuvunja gates
Sasa ndugu yangu, wewe unazungimzia ideal scenario", kila mtu angependa iwe hivyo unavyotaka wewe, nimekuwekea link inayoonyesha kwamba Hakuna makubaliano wala mazungumzo yanayoendelea kila mmoja anafanya apendavyo, bado unahisi kuna mazungumzo yanayoendelea?, tuwekee link tuone hayo mazungumzo ni nani msuluhishi?Bwawa litajazwa kwa hatua 6, hivyo bado nafasi ya mazungumzo ipo wazi. AU ndio wasuluhishi katika hili swala. Ishu hapo ni Ethiopia hataki kufuata matakwa ya Misri moja kwa moja, nae anataka apenyeze ajenda zake katika hayo makubaliano. Hivyo kadiri muda unavyokwenda watafikia muafaka tu mkuu. Hakuna vita hapo maana hata wakifumua hizo gates za bwawa hapo wataingia kwenye vita baridi. Ethiopia anaweza kuhujumu hicho chanzo cha maji ya mto na kivyovyote Misri ata athirika vibaya. Hapo inahitajika busara kubwa maana wote wako in a losing side kama watachukua hatua za kukurupuka na kuingia vitani. Ethiopia anaweza tupia chemical debris huko kwenye maji na show ikaisha bila hata kurusha risasi
Umekurupuka kujibu au? nani kasema usizalishwe? nachosema uzalishwe kulingana na mahitaji ya medium term walau mgwwt 500 ila sio kuzalisha umeme ambao hautumiki ukae tu huku gharama za kuendesha zikiwa pale pale ,haya ni matumizi mabaya ya kodi za umma,yaani huku ni kutokujua ufanye nini kwa wakati gani ndio maana mumenunua ndege afu mumezipaki zimekuwa kama za kukodisha.Kwamba ndege za masafa marefu zinapiga route za ndani,hizi ndio akili zenu huko lumumba au?
Sasa ndugu yangu, wewe unazungimzia ideal scenario", kila mtu angependa iwe hivyo unavyotaka wewe, nimekuwekea link inayoonyesha kwamba Hakuna makubaliano wala mazungumzo yanayoendelea kila mmoja anafanya apendavyo, bado unahisi kuna mazungumzo yanayoendelea?, tuwekee link tuone hayo mazungumzo ni nani msuluhishi?
Walishaamza siku mingi sana kufanya hivyo...hizi nyenye zinaendelea tuu..Nadhani Ethiopia watachagua kujaza hilo bwawa la maji kwa awamu kidogo kidogo zaidi ya muda wanaotaka kujaza kwa sasa ili kuto athiri sana mtiririko wa hayo maji ya mto Nile. Kwa hiyo kwa kufuata njia hiyo wote kwa pamoja Misri na Ethiopia wataepusha vita isiyo ya lazima.
Very trueSiidharau ila ninatumia taarifa tulizonazo kufanya analysis, situmii hisia au mapenzi yangu kama unavyotumia wewe.
Uwezo wa Kijeshi wa Egypt ni mara mbili wa jeshi la South Africa.ni zaidi ya mara kumi ya uwezo wa jeshi la Ethiopia in terms ya vifaa vya kisasa, mafunzo na budget, mwaka jana pekee Egypt bajeti yao ya jeshi ilikua $11B, wakati Ethiopia ni $380M.
Kila mwaka USA inaipatia Egypt $2B kuimarisha jeshi lao, chance ya kushinda hii Vita kwa Ethiopia ni 20%
nani kampuuza ndio kiboko yenu kakubana mpaka kende zimegusana ๐๐๐ manake huna hamu nae na bado kuna miaka mitano inakuja naomba ahakikishe mpaka mujambe cheche๐ ๐ ๐ ๐ Magu yupi huyu huyu ambae watu wamempuuza sasa ameomba msaada wa tume ya uchaguzi kumjibia hoja na tuhuma au kuna Magu mwingine? Unajaribu kuwaeleza wakenya ambao hawafuatilii siasa za bongo sio,Kaanzishe uzi jukwa la siasa kumsifia Magu tuone nani kabanwa makende.
na ww mwana chadema hahah unaleta siasa kwneye maendeleo hapa ni ccm utake usitake mpaka dunia isimameHao ni wana ccm huwa nawapotezea wanatetea ugali wao,waambie wakaanzishe hizo mada zao kwenye majukwa yanayohusisha watz wengi uone kama watathubutu kwa sababu wanajua watapewa za uso huku wanajitutumua maana sio wabongo wengi wanapenda jukwaa hili.Hata saizi hawawezi kukuambia kwamba kampeni za Magu na nyimbo zake za sgr,stiglaz,flaiova sijui bomba zimebuma hutowasikia ilaukweli nao wanaujua kwamba Magu hawezi pita wala hakubaliki but anategemea tume na polisi.
Kila sehemu watu wanalia maisha magumu na wanamlaumu kwa kukurupukia miradi isiyo na tija kwa watu kwa pupa
yupo sahihi kwalipi huyo anachuki za siasa ๐๐๐ mbona tunamjua siku nyingi tuWatanzania wenzako watakuattack ila upo sahihi. Nakubaliana nawe.
Hata tarehe ya mazungumzo haijapangwa lakini Ethiopia anaendelea kujaza dam, lengo la Egypt ni kuilazimisha Ethiopia kusubiri kwanza wafikie makubaliano ndio wajaze hilo bwawa, kumbuka kwamba mazungumzo yamefanyika kwa miaka zaidi ya minne bila kufikia muafaka.Hebu pitia hii kidogo.,
Ethiopia dam filling impact โlimitedโ โ if no drought
so unataka tuekeze kidogokidogo pale rufiji na unajua cost ya kujenga part part ni very expensive na haina maana kwamba ikijengwa yote itawashwa yote siku moja uwe unatumia akili ya kuzaliwa tu its very simple na kuna impact kubwa sana ya kua na mixed source of power unaeza zima kwa muda hii na nyingine ikaendesha lakini point kubwa muhimu ni kushusha bei zaidi na hata kufanya bishara ya kuuza umeme nje its good ideaUmekurupuka kujibu au? nani kasema usizalishwe? nachosema uzalishwe kulingana na mahitaji ya medium term walau mgwwt 500 ila sio kuzalisha umeme ambao hautumiki ukae tu huku gharama za kuendesha zikiwa pale pale ,haya ni matumizi mabaya ya kodi za umma,yaani huku ni kutokujua ufanye nini kwa wakati gani ndio maana mumenunua ndege afu mumezipaki zimekuwa kama za kukodisha.Kwamba ndege za masafa marefu zinapiga route za ndani,hizi ndio akili zenu huko lumumba au?