Kwa mama Samia na JPM mbali sana, hata yule mwanafizikia wetu wa ma protons na neutrons, mzee wa mkasi... hakuwahi kusema kitu Mbele ya JK.Hahahaha sasa wanaanza campaign kabla NEC yao haijawaruhusu?
Halafu Kenya ni ghetto republic yaani makamu wa Rais anainanga serikali anayoiongoza na Rais ambae ni mkuu wake 🤣🤣🤣 hivi mama Samia anaweza kumnanga Magu? 😂
Katika majengo ninayo yapenda ni hili.[emoji551]View attachment 1580935
modern look. nice.[emoji551]View attachment 1580935
this is how students and learners fail. read that quote again and tell me who said that is a concrete jungle 😂is this concrete jungle means😂😂😂😂 kazi munayo nyinyi
[emoji122][emoji122][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Watu ndo wajue elimu ya Tanzania kiboko. Hawa panya wa SUA wamesidia sana kutegua mabomu Angola. SUA pia wanapanya wanaoweza kutambua samples za TB, accuracy yao ni kubwa na wanatambua haraka sana kuliko hata kutumia x ray ambayo usomaji wake una human error.
Mimi ni mwamini sana wa ku blend teknolojia ya viumbe hai na ya kisasa ili kutatua matatizo yetu (mf kutumia mbwa kupima kisukari). Tunaweza hata kuwa train bundi kuweza kunusa hormones zinazomtoka mtu aliye na wasi wasi (suspects), hasa kwenye maeneo sensitive kama airport. Bundi huwa wanauwezo wa kunusa harufu inayotokana na metabolic activities za mtu anayekaribia kufa, tena akiwa mbali sana. Hawa wanaweza kuwa trained kujua kama mtu yuko nervous au kama anaficha kitu.
Tunaweza kutrain wanyama wenye sifa mbali mbali ili watusaidie kuvumbua sehemu yenye madini, mafuta na hata gesi bila ya kuagiza teknolojia nje kwa bei ghali. Anyways, maybe I need to shut up before I give these nyang'aus billion dollar idea. 😉
Huwa wako humu kubisha lkn ukweli wanaujua.Leo wauguzi zaidi ya elfu tano kenya KNH wameandamana wanadai mishahara na marupurupu yao.
Ww hawawezi kukuamini mpk waseme wazungu, mwanzoni kabisa mwa ugonjwa wa covid tuliweka dawa za asili humu hawakuamini wakawaamini wazungu wakajifungia leo matako yanawawaka motroo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tatizo lao hawaamini kitu mpaka waliowashikia mapembe waseme (ref Corona).
hapa 👇 vp?modern look. nice.
MGR: Rehabitation for 7 locomotives at Morogoro MGR workshop
MY TAKE
This garimoshi is way better than all the "garimoshis" at SGR Kunyaland! Anyone to argue that fact?
hawa majirani ndiyo wajue kuwa sisi si levo yao.....
you want my opinion if its better than all trains in "kunyaland"?hapa 👇 vp?
Refer the posts!you want my opinion if its better than all trains in "kunyaland"?
first, what is "Kunyaland" I don't understand
I've refered to the post, just follow upRefer the posts!
sasa kama ulijua so ww umesema kwamn umepost wewe sasa, hvi ww unajua concrete jungle inavokaa au unafkiri ni githeri ile😀this is how students and learners fail. read that quote again and tell me who said that is a concrete jungle 😂
Huo muandiko ss [emoji3][emoji3]Chekini wanafunzi wa kenya walivyokuwa na high IQView attachment 1581148