The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Hata Nyumbu wanatengeneza Engine blocks, 80 % ya Engine wanatengeneza wenyeweWao wanauwezo wa kutengeneza engine.
Sidhani kama kuna kipande cha gari ambacho SA hawawezi kutengeneza. Soma hapa
Automotive industry in South Africa - Wikipedia
Nimesema uweke evidence sio kupotosha malazy wenzako.Halafu wanafungua thread za kuchekelea geothermal huku wakiandika kejeli za kijinga meanwhile serikali yao inasema inataka kupokea umeme kutoka Ethiopia ili wapunguze kutegemea umeme unaozalishwa kutoka kwenye geothermal [emoji23][emoji23][emoji23]
Sihitaji msaada. Mimi ni spartan na nyie ni persians. Kama umeitazama sinema ya the 300 utanielewa.Wakenya kujeni mumsaidie mwenzenu mbn mnamuacha pekeake kwnn hampendi ushirikiano nyie watu, mnasubiri mada inayo wa favour ndo mnachangia ila mada ikiwa inawabana mnatengana.
Sisi wenzenu tunapoona mTz mwenzetu anabananishwa tunaingia kum help mana mtu huwezi kujua kila kitu ila nyie mwenzenu Tony kabanwa huku mnamuangalia km hamumuoni vilee Wakenya bhn [emoji3][emoji3][emoji3]
Ethiopia hawatoweza kuzalisha umeme wa kutosha na inawezekana lile bwawa lao lisizalishe kabisa, Egypt na Sudan waneazimia kulivunjavunja kama wataendelea kulijaza, USA juzi imewaunga mkono.Tayari iko zaidi ya 30% completion
Hivi unadhani una argue na watoto humu?Uongo. Leta evidence. Hii sio kamati ya watoto. Hapa ni kwa watu wazima. Ukisema jambo fuatiliza na ushahidi.
Kama ni kweli basi hongera.Hata Nyumbu wanatengeneza Engine blocks, 80 % ya Engine wanatengeneza wenyewe
Wewe ulivyo 90% DNA composition yako ni Tanzania, una busara na mara nyingi unazungumza ukweli. Fuatilia huu mjadala unavyokwenda kwa busara, sasa subiri Kenyans original waanze kuchangia utaona utakavyokua.Sihitaji msaada. Mimi ni spartan na nyie ni persians. Kama umeitazama sinema ya the 300 utanielewa.
Wewe hujafuatilia kinachoendelea huko. Ethiopia wameshajaza bwawa kwa awamu ya kwanza. Mwaka ujao pia wataujaza kwa awamu ya pili. Egypt ilisema kuwa itailipua bwawa pindi tu Ethiopia watakapoijaza ila hawakufanya hivyo wakati Ethiopia walikiuka amri na kuujaza. Marekani amepunguza msaada anayotuma Ethiopia ila Egypt wamenyamaza. Tazama bwawa unavyofanana sasa hiviEthiopia hawatoweza kuzalisha umeme wa kutosha na inawezekana lile bwawa lao lisizalishe kabisa, Egypt na Sudan waneazimia kulivunjavunja kama wataendelea kulijaza, USA juzi imewaunga mkono.
Kwa hivyo huyu nyumbu anadhani thermal power ni the same na geothermal power? Hahaha. Jifunze tofauti ya hizo power sources mbili. Thermal ni 20 us cents per unit ilhali geothermal ni 8 us cents per unit.Hivi unadhani una argue na watoto humu?
According to EPRA, Kenya will this year import 200 Megawatts from Ethiopia, which will go a long way in stabilizing electricity prices, by limiting dependence on thermal power plants.
Wapo vizuri sana, kumbuka walianza toka 1970s, hawajaanza Leo, tatizo baada ya Nyerere kuondoka madarakani viongozi waliofuata hawakutoa kipaumbele, hawakua wakipata pesa walizokua wanahitaji. Jiwe amekuja na mapinduzi ya viwanda, anataka Jeshi na SUMA JKT ndio waongoze hilo zoezi la mapinduzi ya Viwanda. Sasa hivi Engineers toka JWTZ ndio wanafundishwa na waturuki jinsi ya kujenga reli, ninakuakikishia miaka 10 toka sasa JW ndio watakua wajenzi wakuu wa reli hapa Africa.Kama ni kweli basi hongera.
Unafahamu kuwa umeme unaozalishwa kutoka kwenye maji sio gharama ukilinganisha na hizo njia zingine mnazojisifia nazo?Kwa hivyo huyu nyumbu anadhani thermal power ni the same na geothermal power? Hahaha.
Huwa napenda mjadala uliostaarabika. Nangoja kumfunza huyo babayao255 tofauti ya thermal na geothermal power ndio niende.Wewe ulivyo 90% DNA composition yako ni Tanzania, una busara na mara nyingi unazungumza ukweli. Fuatilia huu mjadala unavyokwenda kwa busara, sasa subiri Kenyans original waanze kuchangia utaona utakavyokua.
Sasa kwani lazima walipue siku hiyo hiyo wanayojaza?, wanataka wapate uhalali wa kuungwa mkono na dunia nzima, Ethiopia inadai kwamba kina cha mto Nile hakitoathirika, Egypt na Sudan wanasema kitaathirika, wanadubiri hilo bwawa lijae hadi juu, kisha waangalie, kama kina kitapungua, then wataiambia dunia kwamba Ethiopia ilidanganya hivyo kuhalalisha mashambulizi, Egypt haitaki kuzikasirisha nchi za Africa, lazima kuwepo na ushahidi wa kutosha.Wewe hujafuatilia kinachoendelea huko. Ethiopia wameshajaza bwawa kwa awamu ya kwanza. Mwaka ujao pia wataujaza kwa awamu ya pili. Egypt ilisema kuwa itailipua bwawa pindi tu Ethiopia watakapoijaza ila hawakufanya hivyo wakati Ethiopia walikiuka amri na kuujaza. Marekani amepunguza msaada anayotuma Ethiopia ila Egypt wamenyamaza. Tazama bwawa unavyofanana sasa hivi
View attachment 1580166
Ni kweli umeme unaozalishwa kwenye maji ndio cheap kabisa. Kisha inafuatiwa na geothermal. Nataka kukufunza kuwa kuna tofauti kati ya geothermal na thermal power. Thermal power inatokana na burning of diesel na ndio bei ghali kabisa kwa power mix ya Kenya. Geothermal ni bei nafuu kushinda njia zingine isipokuwa hydro (maji). GOK inajaribu kufutilia mbali utumizi wa thermal power sources (diesel) kwa sababu ni bei ghali. Natumai umeelewa. KwaheriUnafahamu kuwa umeme unaozalishwa kutoka kwenye maji sio gharama ukilinganisha na hizo njia zingine mnazojisifia nazo?
Wewe huwezi nifunza kamwe,Huwa napenda mjadala uliostaarabika. Nangoja kumfunza huyo babayao255 tofauti ya thermal na geothermal power ndio niende.
Hakuna cha unafuu wala nini,Ni kweli umeme unaozalishwa kwenye maji ndio cheap kabisa. Kisha inafuatiwa na geothermal. Nataka kukufunza kuwa kuna tofauti kati ya geothermal na thermal power. Thermal power inatokana na burning of diesel na ndio bei ghali kabisa kwa power mix ya Kenya. Geothermal ni bei nafuu kushinda njia zingine isipokuwa hydro (maji). GOK inajaribu kifutilia mbali utumizi wa thermal power sources (diesel) kwa sababu ni bei ghali. Natumai umeelewa. Kwaheri
Hakuna kiswahili kinaitwa "fuatiliza" sikunyingine sema ambatanisha ..utakuwa umeongea vyema zaidiUongo. Leta evidence. Hii sio kamati ya watoto. Hapa ni kwa watu wazima. Ukisema jambo fuatiliza na ushahidi.
Uwezekano mkubwa wa Kenya ni kupata umeme kutoka Southern Africa kuliko huo wa Ethiopia, hilo bwawa ni kubwa sana lazima litapunguza maji ya mto Nile, labda wajaze nusu ya uwezo wakeNi kweli umeme unaozalishwa kwenye maji ndio cheap kabisa. Kisha inafuatiwa na geothermal. Nataka kukufunza kuwa kuna tofauti kati ya geothermal na thermal power. Thermal power inatokana na burning of diesel na ndio bei ghali kabisa kwa power mix ya Kenya. Geothermal ni bei nafuu kushinda njia zingine isipokuwa hydro (maji). GOK inajaribu kufutilia mbali utumizi wa thermal power sources (diesel) kwa sababu ni bei ghali. Natumai umeelewa. Kwaheri