Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,263
- 107,895
Mzee Kibaha ndio barabara pekee Tanzania ambayo imekaribia hadhi la Thika road. Leni nane za Kibaha ni za kupewa heshima ila hamna barabara lingine lenye leni nane huko TZ. Hio Dodoma ring road ina leni ngapi?
Nimeisoma. Dodoma outering itakuwa dual carriageway. Hio inamaana kuwa itakiwa na leni nne tu. Kenya tuna barabara nyingi ambazo ni dual carriageway. Hamna kitu special hapo. Yaani watanzania bado mnafurahishwa na leni nne? Wacheni ushamba jameni. Mnaaibisha watu wa Afrika Mashariki.
Hebu onesha hapa hao dual carriage way nyng unazosema ucfanye watu wehu humu.Nimeisoma. Dodoma outering itakuwa dual carriageway. Hio inamaana kuwa itakiwa na leni nne tu. Kenya tuna barabara nyingi ambazo ni dual carriageway. Hamna kitu special hapo. Yaani watanzania bado mnafurahishwa na leni nne? Wacheni ushamba jameni. Mnaaibisha watu wa Afrika Mashariki.
Kwenye barabara tunawatoa. Yaani hio barabara ni ya kawaida sana hapa Kenya. Baki tu kwenye brt ila usije kwenye barabara ya kawaida ya bitumen kwani huko tumewashindaNdo mana tunasema tuko mbele cz hamuna hata 1cm ya BRT but cc highway tunayo hata km ni m5, ok onesha na hii km ipo kunyaland [emoji116][emoji116]
Cc: Teargass angalia mwenzio kakubali uku ww unakwama wapi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1579574
1. Barabara
2. Viwanda
3. Service sector (sijui kwa kiswahili service sector ni nini?)
Dual carriage with an option for a BRT at the centre! leta dual carriage ya 110 km Kunyland!Nimeisoma. Dodoma outering itakuwa dual carriageway. Hio inamaana kuwa itakiwa na leni nne tu. Kenya tuna barabara nyingi ambazo ni dual carriageway. Hamna kitu special hapo. Yaani watanzania bado mnafurahishwa na leni nne? Wacheni ushamba jameni. Mnaaibisha watu wa Afrika Mashariki.
Unadhani siwezi kuposti? Wacha kwanza nianze kuzitaja. Mombasa road ,outering road, western bypass, Eastern bypass, western bypass, Likoni road phase one, na kadhalika. Picha nitaleta nikipata mudaHebu onesha hapa hao dual carriage way nyng unazosema ucfanye watu wehu humu.
Ndo uoneshe ss wacha maneno, btw lengo langu halikuwa kukuonesha barabara bali kuna dude mbele kule linapatikana Tz tu ktk ukanda huu na nchi nyingi tu za kiafrika [emoji3][emoji3].Kwenye barabara tunawatoa. Yaani hio barabara ni ya kawaida sana hapa Kenya. Baki tu kwenye brt ila usije kwenye barabara ya kawaida ya bitumen kwani huko tumewashinda
Kama wewe ni mhenga wa kiswahili basi tuambie service sector ni nini kwa kiswahili.lakini wewe siyo English, ...
Sawa leta picha mana kuna cku mwenzio nilimbananisha kwenye hii hoja akaishia kuiba picha ya Namibia [emoji3][emoji3]Unadhani siwezi kuposti? Wacha kwanza nianze kuzitaja. Mombasa road ,outering road, western bypass, Eastern bypass, western bypass, Likoni road phase one, na kadhalika. Picha nitaleta nikipata muda
of length 110 km !Unadhani siwezi kuposti? Wacha kwanza nianze kuzitaja. Mombasa road ,outering road, western bypass, Eastern bypass, western bypass, Likoni road phase one, na kadhalika. Picha nitaleta nikipata muda
Jengeni kwanza ndio uulize hilo swali. Kwa sasa huna haki ya kuuliza hilo swali.Dual carriage with an option for a BRT at the centre! leta dual carriage ya 110 km Kunyland!
kwahiyo Tanzania haina dual carriages? Wacha ujinga najua unazodoka kwa kudhani kwanye highways mko mbele kumbe hamna chochote!Jengeni kwanza ndio uulize hilo swali. Kwa sasa huna haki ya kuuliza hilo swali.
Hazina length ya 110 km ila nyinyi pia hamna dual carriageway ya 110 km. Jengeni kwanza. Kibaha ndio barabara ya heshima TZ ila ni nusu ya Thika road.of length 110 km !
tena isitoshe our projects r beyond Dar!Hazina length ya 110 km ila nyinyi pia hamna dual carriageway ya 110 km. Jengeni kwanza.
Zetu nyingi ziko Nairobi na Mombasa.tena isitoshe our projects r beyond Dar!
ours is U/C! where is ur 110 km U/C?Hazina length ya 110 km ila nyinyi pia hamna dual carriageway ya 110 km. Jengeni kwanza. Kibaha ndio barabara ya heshima TZ ila ni nusu ya Thika road.
Kwenye highways sidhani kama kuna Mlazy anaweza pinga kuwa Kenya iko mbele. Yaani tukiongea tu ukweli tuweke battle kando.kwahiyo Tanzania haina dual carriages? Wacha ujinga najua unazodoka kwa kudhani kwanye highways mko mbele kumbe hamna chochote!
Kwenye highways sidhani kama kuna Mlazy anaweza pinga kuwa Kenya iko mbele. Yaani tukiongea tu ukweli tuweke battle kando.
Inawezekana ikawa ni kweli kwamba mna highway ndefu kutuzd lkn hata kwetu highway ipo na inaongezwa urefu nadhani hapo baadae czan kuna nchi ukanda huu itakuwa na highway ndefu km Tz.Kwenye highways sidhani kama kuna Mlazy anaweza pinga kuwa Kenya iko mbele. Yaani tukiongea tu ukweli tuweke battle kando.