Aibu sn aloo yn serikali ya kenya imeonesha kushindwa kwa hali ya juu kabisa, wameruhusu WaTz kuwatawala Wakenya in out, kila tunachosema WaTz wao wanakubali, ndiyo maana Wakenya wa humu Jf wanazikimbia nyuzi mana wanachoreshwa sn na serikali yao.
tuko bize na harakati za maendeleo kimaisha pia uchaguzi[emoji3][emoji3]Hatutakiiiiii hii ngoma mpaka mwakani washike adabuu
joto la jiwe fungulia uzi hii [emoji121][emoji121][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaha hawa ni vichaa na watavaa chupi kichwani awamu hii. Yetu macho πππ
Hawajui wanachotakiwa kufanya. Wapo njia panda. Ku surrender wanatamani but ego inawaumiza ndani kwa ndani.Hahahaha hawa ni vichaa na watavaa chupi kichwani awamu hii. Yetu macho πππ
Aisee, hii ni aibu kwa Serikali ya Kenya, yaani kwa Mara nyingine wamegiga goti mbele ya TZ??!
Nilisoma sehemu kuwa hatutawaruhusu mpaka watuweke kwenye orodha. Kabla taarifa kusikika wameshatuweka. Hawa wajinga dawa yao ni kuendelea kuwapotezea.
hawatakupa jibu wanaona aibu.... Kwa ninavyomjua mzee baba walahi anaweza akawakaziaHawa jamaa wehu na wapenda maigizo, siwatukani labda mkenya mmoja asaidie jibu....ni nin kimefanya watuweke kwa list sahiv?! na wapema pima vip kuwa corona imepungua kwetu ?!....maana na bado hatufanyi lock down,kafyuu na kupima corona tuliendelea kuto pima....
Hivi hamna excuse ya kuwasubirisha? Something like "Mpaka uchaguzi uishe"Hawajui wanachotakiwa kufanya. Wapo njia panda. Ku surrender wanatamani but ego inawaumiza ndani kwa ndani.
hahah mwanaume pekee aliyebaki ni Tanzania tu hapa EA!
Tony 254 anamuangalia Simon akiyabugia yotepole sana, angalieni msipasuke tu kwa hizo nyongo mlizonazo[emoji116]
wakenya ndo huyo mtoto
tanzania ndo huyo dingi anakunywa maziwa (pipeline) yaliandaliwa kwa ajili yake
maziwa ndo bomba la mafuta
View attachment 1570401
Kq hamna kuja Tz
Makala nzuri na za maana zinabaniwa Sana muda daah[emoji41] [emoji41]
Hahaha hadi waruhusu dunia nzima kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]