Kwa uhalisia wa maelezo yake ni kuwa Serikali imekurupuka na haitafanikiwa bali itaishia kwenye feasibility study na kwa research alizonazo yeye yupo sahihi huku wengine tukiendeshwa na mihemko 🙂Unataka kusema serikali imekurupuka? Kwani wao hawana wataalamu wanaowashauri?
Hiyo hoja ya reli mbili sijui umeitoa wapi? kama unaongelea reli ya kati na hiyo ya Musoma, mbona zinapitia sehemu tofauti? Usiangalie reli zinapoanzia na kushia tuu, angalia pia na zinapopitia. Sio wateja wote wanaanzia Dar na kuishia Mwanza/Kigoma, wengine wanapandia kati na kushukia kati.
Hiki kitumbukia kimeingia mchanga lakini wakenya wanakipangusa kama kitafaa ute umejaaa mdomoni
Subirisubiri utapata mwana si wako bro. Wewe ni mojawapo ya watu kwenye huu uzi wenye database zenye data za kutosha vichwani ila zitumie kuforecast rather than kutoa results pekee. Hii ni vita ya kiuchumi muraNi vizuri kukubali argument bora na si kuanza kushambulia watu na ukanda na ukabila hapa economics ndo inaongeleka lets wait demand to build up at Tanga port. Lets wait the EACOP oil terminal to be constructed n current expansion to be completed. Nina uhakika tutapata picha kamili kuna uwezekano with their oil money Uganda waka-commit to Tanga port as the efficiency of Wagon ferries to Mwanza from Port bell and onwards by SGR to Dar will be a determinant factor! For now give a MGR a chance ti create a demand for railway services.
Tujikumbushe kidogo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Kitambo waliambiana waususe huu uzi ila baadae wakarudi kimya kimya,hii isuue ya pipeline hoima to tanga imewakimbiza humu kimya kimya,wanaishia kusoma kwa mbali
Pipeline ambayo haijaanza kujengwa ndio malazy wananyambanyamba nayo hapa? Subirini ujenzi uanze ndio muanze kutapika humu.
Eti yaliandaliwa kwa ajili yake [emoji3][emoji3]pole sana, angalieni msipasuke tu kwa hizo nyongo mlizonazo[emoji116]
wakenya ndo huyo mtoto
tanzania ndo huyo dingi anakunywa maziwa (pipeline) yaliandaliwa kwa ajili yake
maziwa ndo bomba la mafuta
View attachment 1570401
Huku wamesaini tu bado mradi kuanza lakini wakenya mnanuna na kuiona Tz kama shetani,mungu awape moyo wa UVUMILIFUPipeline ambayo haijaanza kujengwa ndio malazy wananyambanyamba nayo hapa? Subirini ujenzi uanze ndio muanze kutapika humu.
safari ya kuanza imewadia sasa bla bla zimeisha sasa tupigane kwenye SGR kwa uganda ndio vita iliobakia 😂😂😂😂 ila habari ya pipeline wachana nayo usiumize medula oblongataPipeline ambayo haijaanza kujengwa ndio malazy wananyambanyamba nayo hapa? Subirini ujenzi uanze ndio muanze kutapika humu.
Tuliza domo lako. unajifanya unajua kuongea ila unaongea huku hali yako iko hiviPipeline ambayo haijaanza kujengwa ndio malazy wananyambanyamba nayo hapa? Subirini ujenzi uanze ndio muanze kutapika humu.
Huyu ni mtu mwoga anayeogopa kupanda ndege. Ndege ambayo amezoea ni kuku tu.
labda uwe hujui miradi mikubwa kama hio inaendeshwaje ndio unaeza toa ulimi wako hvo😂😂😂😂Nilishasema miaka mitatu iliyopita kuwa mradi huu ni tembo mweupe na malazy wakaona kama ni utani. Mradi huu umekuwa launched mara mbili na bado ujenzi haujaanza. Hata M7 alikuja TZ kusaini mkataba kisha tukadanganywa kuwa mradi utaanza kujengwa ila wapi? Mradi umegeuka kuwa hadithi za abunuasi. Riwaya hizi zitaisha lini? Tunataka kuona mradi ukizinduliwa rasmi na malorry na bulldozer zikilainisha ardhi. Sio mambo ya hadithi na riwaya kila wakati
Raila na Ruto wataifaa Kenya? – Taifa LeoHuyu ni mtu mwoga anayeogopa kupanda ndege. Ndege ambayo amezoea ni kuku tu.
Duuhh una moyo mgumu ww [emoji3][emoji3]Nilishasema miaka mitatu iliyopita kuwa mradi huu ni tembo mweupe na malazy wakaona kama ni utani. Mradi huu umekuwa launched mara mbili na bado ujenzi haujaanza. Hata M7 alikuja TZ kusaini mkataba kisha tukadanganywa kuwa mradi utaanza kujengwa ila wapi? Mradi umegeuka kuwa hadithi za abunuasi. Riwaya hizi zitaisha lini? Tunataka kuona mradi ukizinduliwa rasmi na malorry na bulldozer zikilainisha ardhi. Sio mambo ya hadithi na riwaya kila wakati
Aende wapi ss wkt nchi yake ina changamoto lukuki, yn aache kuzurura nchini mwake aende kuzurura nchi za watu hyo akili au tope, ushawahi ona marais wenye akili zao km kina xinping wanazurura ovyo ovyo? Magu haendi popote ni made in Tz mambo ya kuzurura ovyo kaachia uhuru.Huyu ni mtu mwoga anayeogopa kupanda ndege. Ndege ambayo amezoea ni kuku tu.
Taarifa inasema Hizo fedha zitasaidia Kuweka umeme kwenye Vituo vya Afya na Hospital zilizojengwa na Serikalibure [emoji3][emoji3][emoji3] sasa sijui covid gani tena