Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,183
- 107,783
kwani huoni paa kama mlima? Bajeti iliyotengwa kugharamia stesheni ya Morogoro imepunguzws kuenda kugharamia upanuzi wa stesheni ya Kilosa!Ni kweli reflection yake ingekuja kwny paa!!!pia wangeangalia namna ya kuruhusu mwanga wa asili(natural light) upite ndani kwa kiasi kikubwa si kufunika kama nyumba ninayojenga mimi uswahilini kwetu.
Kwa hiyo yaendelee kulala Jangwani? Ile sehemu si kubwa hivyo kama unavyodai BRT itahitaji ofisi pia zaidi ya more than 7 parking lots pia kumbuka total buses will be over 1000 by the time 6th phase is ready!So pakiwa pakubwa unajua BRT mpaka phase VI itakuwa na mabasi mangapi?
kwani huoni paa kama mlima? Bajeti iliyotengwa kugharamia stesheni ya Morogoro imepunguzws kuenda kugharamia upanuzi wa stesheni ya Kilosa!
Kwani mpngo ni magari yote ta BRT yaifa dhiw ubungo?...Kwa hiyo yaendelee kulala Jangwani? Ile sehemu si kubwa hivyo kama unavyodai BRT itahitaji ofisi pia zaidi ya more than 7 parking lots pia kumbuka total buses will be over 1000 by the time 6th phase is ready!
Mapaa yote ni mlima ila sio safu za milima!kwani huoni paa kama mlima? Bajeti iliyotengwa kugharamia stesheni ya Morogoro imepunguzws kuenda kugharamia upanuzi wa stesheni ya Kilosa!
Haiwezekani kwanza kuna mabasi alfajiri lazima yaanzie nje ya mji kuleta watu katikati. Pili ni risk kuweka mzigo wote mahali pamoja!!!tatu jangwani ni karakana kwa ajili ya maintenance ya buses za phase one tu,ukiangalia kila phase ina eneo kwa ajili ya ku accommodate maswala yake nenda mbagala mradi unapoishia kumetengwa eneo njo gongo la mboto pia,kasoro kimara tu.Kwani mpngo ni magari yote ta BRT yaifa dhiw ubungo?...
Kwahivy utakubaliana na mm kuwa eneo la Ubungu halina ulazima lote litumike kwa BRT pekee....?Mapaa yote ni mlima ila sio safu za milima!
Haiwezekani kwanza kuna mabasi alfajiri lazima yaanzie nje ya mji kuleta watu katikati. Pili ni risk kuweka mzigo wote mahali pamoja!!!tatu jangwani ni karakana kwa ajili ya maintenance ya buses za phase one tu,ukiangalia kila phase ina eneo kwa ajili ya ku accommodate maswala yake nenda mbagala mradi unapoishia kumetengwa eneo njo gongo la mboto pia,kasoro kimara tu.
Kwa mtazamo wangu si lazima better kuweka kitega uchumi upate kipato zaidi kuna kitu kinaitwa BOT Build, Operate,Transfer wanaweza kwnd nalo hilo na ofisi wakapata humo humo.kuna wakati nilisafiri nikalizunguka eneo hilo nikauliza uliza wakaniambia tena mabasi ya brt yanaanzia kule mwisho kbs kwny katerminal eneo si haba watu wanalichukua poa tu unaenda mpk kule mwisho inapakana na ukuta wa TBS.Sijajua upande huu wa nyuma.Kwahivy utakubaliana na mm kuwa eneo la Ubungu halina ulazima lote litumike kwa BRT pekee....?
Mkuu mbn unajikot mwenyewe [emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo yaendelee kulala Jangwani? Ile sehemu si kubwa hivyo kama unavyodai BRT itahitaji ofisi pia zaidi ya more than 7 parking lots pia kumbuka total buses will be over 1000 by the time 6th phase is ready!
Hata mimi niliiona hii ila nikauchuna.Mkuu mbn unajikot mwenyewe [emoji3][emoji3][emoji3]
Nimeshangaa mana tabia hz ni za Wakenya [emoji3][emoji3]Hata mimi niliiona hii ila nikauchuna.
Hapana ila pale Ubungo kutakuwa for main activities na hata ofisi za BRT zitakuwa pale.Kwani mpngo ni magari yote ta BRT yaifa dhiw ubungo?...
Kumbuka Jengo la stesheni Kilosa halikuwa limepangwa kuwa kubwa vile hapo awali!si kweli, otherwise leta ushahid! morogoro & kilosa are in two different lots/phases
Kwa wenye kumbukumbu au kama baadhi yenu mlikuwepo hilo eneo la stendi ya Ubungo ndio ilikuwa karakana kuu ya UDA.Kwahivy utakubaliana na mm kuwa eneo la Ubungu halina ulazima lote litumike kwa BRT pekee....?