Mko juu yetu kwa Kila Jambo!!? Nataka utaje mambo matano tu, ambayo mko juu yetu,sitaki mengi!Mntakapo tupita....lakini hivi nyie wa tZ mtaamini lini tuko juu yenu Kwa kila jambo????? Kutoelewa Jambo kama hili pia ni upumbavu
Tuwapite kwa madeni, njaa na rushwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mntakapo tupita....lakini hivi nyie wa tZ mtaamini lini tuko juu yenu Kwa kila jambo????? Kutoelewa Jambo kama hili pia ni upumbavu
Kuna tajiri anayekufa kwa njaa?, au anayetegemea Chakula cha Masada?, au anayeshindwa kumalizia reli wachina wanapikataa kutoa mkopo?.Mkopo hupewa tajiri..hebu leo nenda benki kimaskini maskini uone kama utapewa hela.....sisi twakopa Kwa maana tunao uwezo wa kulipa...hebu jaribuni kulipa kama sisi muone kama hamtakuwa district ya chaina...iwe mnaitwa majina kama tundulisu Ching hu, pombe ching li nkl
Mgeni huyo hapa JF twende naye taratibu atapevuka tu.Mko juu yetu kwa Kila Jambo!!? Nataka utaje mambo matano tu, ambayo mko juu yetu,sitaki mengi!
Mntakapo tupita....lakini hivi nyie wa tZ mtaamini lini tuko juu yenu Kwa kila jambo????? Kutoelewa Jambo kama hili pia ni upumbavu
naona imeipumulia tourism 👌👌👌[SUB][/SUB]
hahaha shida yako ni ccm hakuna kingine 😂😂😂😂 na bado kuna miaka tano tena watakukamua vzrUswazi sio mbeya tu ni nchi nzima imeharibiwa na maccm
The Banana Repuplic of KunyalandYaani Kiswahili kingi kina hasara yake. Hekima yenu TZ iko chini sana.
Your IQ is very low..yaani wakati mwingine mimi hata hutaka nije tZ nisimame urais at least niwainue kiasi..yaani mna akili mboga zaidi... ati mnashindana na Kenya..aisee mko nyuma....chakula kiko Kenya..na njaa ikija yaja Kwa sababu za mvua etc na hilo huwa ni zaidi ya akili ya Wana damu...hata tz huwa mwaumia na njaa wakati Fulani
Ukiwa na alternatives kama hizi yanini kuomba COVID funds? Imagine gold revenue is about $1 bln more than last year! Ikumbukwe na export ya samaki as protein supplement pia imepanda! Wale jamaa wa chai na maua vimedoda!naona imeipumulia tourism 👌👌👌
Mpo juu yao kwenye nini labda, be specific?Mntakapo tupita....lakini hivi nyie wa tZ mtaamini lini tuko juu yenu Kwa kila jambo????? Kutoelewa Jambo kama hili pia ni upumbavu
Unaushahidi? Unahara tu huna factsMjinga ni wewe mpiga zumari,maccm yametekeleza 31% tu ya ilani yao na hakuna kilichokamilika toka 2015..kama km 300 za reli tembo mweupe zinachukua miaka 4 ,hizo za kufika huko usukumani mnakohangaika zitachukua miaka mingapi?
Kama miaka 5 imepita mumejenga chini ya km 5000 za lami ya bei ya chini yaani surface dressing,hizo mlizotaja kwenye ilani hewa ya sasa w unaona mtaweza? poleni sana mwisho wa uongo wenu ni oktoba
Noma sana, I Like Ethiopian, hawana kelele wala ulimbukeni.new 20 mln PAX terminal
Kenya wameexport maua ya pesa ngap[emoji23][emoji23][emoji23][SUB][/SUB]
hahah halafu owner wa mashamba yale ni Wadachi!Kenya wameexport maua ya pesa ngap[emoji23][emoji23][emoji23]
Brilliant idea. Serikali za mji, manispaa na majiji akiamua kupangilia miji yetu kwa lengo la kuondoa makazi holela inawezekana japo gharama za kulipa fidia hazitakwepeka. Cha msingi liwe jambo endelevu maana uwezo wa kulipa fidia kwa wakati mmoja wale wote watakaobomolewa nyumba zao linaweza kuwa gumu. Kama watawalipa in phases naamini baada ya miaka 10 hadi 20 ijayo miji yetu inaweza kuwa na mpangalio mzuri wa makazi na huduma za jamii. I wish ningekuwa mfanya maamuzi katika hili jambo maana katika mambo yanayonikera ni pamoja kuona makazi holela bila miundombinu mizuri. huwa nasikitika sana kuona watu wanajenge jenga hovyo bila mpangilio.Ndg kubomoa zote nadhani ni vigumu ila kwa maoni yangu wapitishe barabara za mitaa zilizo pangiliwa vizuri na wote ambao nyumba zao zinapitiwa na barabara walipwe fidia, kukiwa na barabara mitaa itapendeza. Case study niliona mji mmoja kule geita unaitwa buselesele wamefanya hivyo na mitaa imekuwa vizuri.
wale wa greenfield terminal wako wapi?Noma sana, I Like Ethiopian, hawana kelele wala ulimbukeni.
Huyo co mgeni mkuu, huyo ni zigi Rizla kwa id nyingine mpuuzi sana uyo jamaa kapigwa ban ku comment humu kwahyo anafungua id mpya kila siku.Mgeni huyo hapa JF twende naye taratibu atapevuka tu.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
ACHA USENGE. PELEKA HUU UMBEA WAKO HUKO JUKWAA LA SIASA.Mjinga ni wewe mpiga zumari,maccm yametekeleza 31% tu ya ilani yao na hakuna kilichokamilika toka 2015..kama km 300 za reli tembo mweupe zinachukua miaka 4 ,hizo za kufika huko usukumani mnakohangaika zitachukua miaka mingapi?
Kama miaka 5 imepita mumejenga chini ya km 5000 za lami ya bei ya chini yaani surface dressing,hizo mlizotaja kwenye ilani hewa ya sasa w unaona mtaweza? poleni sana mwisho wa uongo wenu ni oktoba