ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,458
- 89,880
PK hana huo ujinga wa kuiga iga ili kumfurahisha Magu at expenses ya uchumi wa watu wake,kwanza Magu keshalikoroga na upande wa Rwanda na Uganda kiasi kwamba kila mtu anamshangaa,worse enough anatuharibia biashara yetu ya mbao na horticulture.Nnavyoona JPM anasubri aone commitment ya Rwanda kam wanataka kujenga Kigali-Rusumo..before kuamua ajenge...maana hamna umaana kujenga reli hadi rusumo kama Rwanda atafeli kujenga yake
huyu jamaa sijui yupo sayari gani!! unaota kweli, watu kama ww hamfai kabisa kwenye shughuli zozote zile za maendeleo mnakosa uzalendo kabisa na kurudisha sana watu nyuma yani ww huoni jema lolote lile umekalia ubaya ubaya tu na chuki za ajabu au sababu kubwa kibarua chko hicho cha mbao kimeota nyasi? kama ni hvyo basi nikuhabarishe kuwa hakuna mtu aliokuwa hakuyumba kiuchumi kwenye awamu hii kwa njia moja ama nyengine ila angalau mambo mengi yanafanyika sana tu na yanaonekana ila ww unajifanya kipofu kabisa, kama ni vitani basi ww utakuwa umefanya "Mutiny" na ni wakupigwa risasi tu..... shwaainnnn🤬😡😡PK hana huo ujinga wa kuiga iga ili kumfurahisha Magu at expenses ya uchumi wa watu wake,kwanza Magu keshalikoroga na upande wa Rwanda na Uganda kiasi kwamba kila mtu anamshangaa,worse enough anatuharibia biashara yetu ya mbao na horticulture.
Oktoba tunaondoa hii laggage
Haya malori ni mali ya mkenya?, hii ni miongoni mwa sababu wakenya wanamchukia sana Magufuli, amewabana Sana, hawapumui[emoji23][emoji23][emoji23]Moto unawaunguza wakenya.
Kama kuna mradi muhimu kwa Rwanda sasa hivi ni huu wa SGR, Kagame yupo radhi kusimamisha kila kitu kwa ajili ya mradi huu.PK hana huo ujinga wa kuiga iga ili kumfurahisha Magu at expenses ya uchumi wa watu wake,kwanza Magu keshalikoroga na upande wa Rwanda na Uganda kiasi kwamba kila mtu anamshangaa,worse enough anatuharibia biashara yetu ya mbao na horticulture.
Oktoba tunaondoa hii laggage
PK hana huo ujinga wa kuiga iga ili kumfurahisha Magu at expenses ya uchumi wa watu wake,kwanza Magu keshalikoroga na upande wa Rwanda na Uganda kiasi kwamba kila mtu anamshangaa,worse enough anatuharibia biashara yetu ya mbao na horticulture.
Oktoba tunaondoa hii laggage
PK hana huo ujinga wa kuiga iga ili kumfurahisha Magu at expenses ya uchumi wa watu wake,kwanza Magu keshalikoroga na upande wa Rwanda na Uganda kiasi kwamba kila mtu anamshangaa,worse enough anatuharibia biashara yetu ya mbao na horticulture.
Oktoba tunaondoa hii laggage
Kitanda usichoikilalia hujui kunguni wake,hao wakenya washukuru kwamba wanaweza zungumza chochote kwenye media na social media bila bugudha,wangekua huku bongo ndio wangeelewa maana ya kufugwa na kunyimwa freedom of expression
ccm imekabwa kila kona inapumulia mashine huku mgombea wao akitishia watu na frastration maana kila akizungumzia sgr,stiglaz and the likes watu hawamuelewi,wanataka chakula mezaniujenzi wa meli maziwani na baharini
View attachment 1554713
Mbona hueleweki jombaa, hao wanazungumzia watu kukusanyika kwa wingi kipindi hiki cha Corona bila kuvaa barakoa na Social distance, wewe unazungumzia kuzibwa midomo, sasa unataka tuchangie lipi?, Corona au freedom of expression?Kitanda usichoikilalia hujui kunguni wake,hao wakenya washukuru kwamba wanaweza zungumza chochote kwenye media na social media bila bugudha,wangekua huku bongo ndio wangeelewa maana ya kufugwa na kunyimwa freedom of expression
Ndio maana maccm yanakataliwa kila sehemu na yamepandwa na joto kama la bleed..Kama hapo section (a) umeme uko surplus kuna haja gani ya kutumia tilion of money kuzalisha iddle electricity? kwa nini lisingejengwa bwawa la mgwt 400 na pesa zingine zikafanye mambo mengine ya msingi ya kuinua vipato vya wananchi? maccm kichwani ni bure kabisa,tutawanyoosha oktoba kwa matumizi mabaya ya pesa za sie walipakodiupatikanaji wa umeme kutoka 36 mpk 70%
View attachment 1554716
Hii ndio mikakati ya kuinua uchumi wa mwananchi sio wale wakununua ndege na sgr,miradi hewa isiyo na faida..
Ndio mnastuka,poleni maana nyang'au hana heko.
Ndio maana maccm yanakataliwa kila sehemu na yamepandwa na joto kama la bleed..Kama hapo section (a) umeme uko surplus kuna haja gani ya kutumia tilion of money kuzalisha iddle electricity? kwa nini lisingejengwa bwawa la mgwt 400 na pesa zingine zikafanye mambo mengine ya msingi ya kuinua vipato vya wananchi? maccm kichwani ni bure kabisa,tutawanyoosha oktoba kwa matumizi mabaya ya pesa za sie walipakodi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio final official design hiyo na pia it's not a soccer football stadium, watu wawe makini kdgo kwenye kupost vitu View attachment 1562477
Kumbe (kwenye video 3.31min) kusafirisha kontena kutoka Dar - Kigali kuna nafuu ya $500 kuliko kupitia Mombasa?
wewe una mimba changa bro!!!Kitanda usichoikilalia hujui kunguni wake,hao wakenya washukuru kwamba wanaweza zungumza chochote kwenye media na social media bila bugudha,wangekua huku bongo ndio wangeelewa maana ya kufugwa na kunyimwa freedom of expression
Unatusifia na mpunga hapa[emoji23][emoji23]Yaani Hawa watu Wana maisha magumu aise!mfano hapa Tabora,Bei ya vyakula iko Hivi,
Mchele 1kg=Ksh28
Unga1kg=Ksh32
Nimewawekea kwa pesa yao ili wasipate shida ya ku convert. Ndio maana huwa nawashangaa wanaposema eti watumishi wa TZ wanalipwa mishahara midogo wakati mishahara ya watumishi wa kenya inaishia kwenye chakula.
ksh 28 inakutoa jasho kavu mpaka unaishia kulala njaa.Unatusifia na mpunga hapa[emoji23][emoji23]
Alafu uache kuorodhesha vitu local kw ksh
Njaa mbya sanaMoto unawaunguza wakenya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]PK hana huo ujinga wa kuiga iga ili kumfurahisha Magu at expenses ya uchumi wa watu wake,kwanza Magu keshalikoroga na upande wa Rwanda na Uganda kiasi kwamba kila mtu anamshangaa,worse enough anatuharibia biashara yetu ya mbao na horticulture.
Oktoba tunaondoa hii laggage