Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

heheh angalia usije ukahitajika kutoa maelezo kwa MAMSAP home! JF isivunje nyumba! halahala utaulizwa ilikuwaje mpaka akavaa bikini na kukubali kupigwa picha nawe!? a coincidence ama more than our eyes to see?

Bahati nzuri ni Model [emoji23] Hamna shida .
 
Angalia unavyotangaza biashara humu unasema nikupanguse nini? Unazani wanaume wote huwa wanawapakua wanawake au co, hebu nitolee ujinga wako hapa usitake kunipeleka motoni mie, icho kikalio chako nenda kawatangazie wengine humu Jf wapo wanaojua kushika shika watu matako sio mm[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…