The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Walishachelewa wanataka kuiga mbinu za Magu but wana dole matakoni wamelikalia linaitwa loan for covid-19 wakitaka kuinuka tu wanaambiwa rudi hapo hapo kwenye hilo dole [emoji3][emoji3]Walianza na janja ya idadi kupungua na kuwa 114,baada ya kutisha kutoka kwa mabwana zao ikapanda mpaka 147,leo imekuwa 212,[emoji38][emoji38][emoji38] kesho itakuwa more than 250!
https://www.facebook.com/
Hapa angefeli kweli kweli, hakuwa anawajua vzr hawa enzi hizo.Visionary leader indeed!
Miaka5 yetu ikaipita yenu yenye miaka 45 ndio kuisoma namba hiyo ogopa the coming giantNdio sasa mnaelewa kati ya inchi tajiri na maskini....construction boom yenu hata haikuenda zaidi ya miaka mitano,lakini yetu ni kutoka 1968 hadi sasa tunaendelea tuView attachment 1556912
NdotoSimba haijatuacha Sana Kama unavyofikiri,hasa kwa usajili wa mwaka huu,naamini Yanga tutafanya maajabu.
Mkuu MOTOCHINI anayeongea hv angekuwa na tm km mazembe au al ahly ningesema sawa lkn co Simba amtambie Yanga tutakuwa tunajiongopea tu ni km hatujui historia ya hz tm, simba awatambie tm zote za Afrika mashariki lkn co Yanga mkuu, na Yanga nao hivyo hivyo cz tunajuana kiundani mno tunajua mnacholingia nanyi mnajua tunachoringia so mmoja akiona mwenzie anamsumbua sn anajua switch ilipo anazima umeme tunarudi pale pale, btw kwa ss mko vzr kutuzd ila msijiaminishe kwmb ndo mmetuzd kiivyo kwa kuangalia statistics tu, hyo ndo tunachopambana na Wakenya humu waachane na ushuzi wa statistics twende on ground [emoji3][emoji3]Ndoto
😄😄😄Walishachelewa wanataka kuiga mbinu za Magu but wana dole matakoni wamelikalia linaitwa loan for covid-19 wakitaka kuinuka tu wanaambiwa rudi hapo hapo kwenye hilo dole [emoji3][emoji3]
Yaani tangu ile ID ipigwe ban kucoment kwenye huu uzi amekuwa na tabia ya kufungua ID mpya kwa ajili ya kucoment kwenye huu uzi [emoji23][emoji23][emoji23]Join 26 Aug 2020 huyu nahisi ni wa hapa hapa ila ametengeneza ID mpya, yn wamekuwa waoga kweli kweli ngj nimfatilie muandiko ntamjua tu au babayao255 lazima ataugundua huu mzoga [emoji3][emoji3]View attachment 1557558
Ushamjua duuhhh[emoji3][emoji3][emoji3]Yaani tangu ile ID ipigwe ban kucoment kwenye huu uzi amekuwa na tabia kufungua ID mpya kwa ajili ya kucoment kwenye huu uzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Anajaribu kubadilisha muandiko ila ameshindwa kubadilisha ukumbaf!Ushamjua duuhhh[emoji3][emoji3][emoji3]
mkuu we unafaa sana,itabidi unikopeshe ndugu yako[emoji56]Heheheheheeee mie tena mkuu huwa nikiona mtu anashabikia Yanga hata km namdai akija na jezi ya mwananchi tu atanipiga kiswahili atakavyo cz tayari namuona km ndugu cjui nipoje mm[emoji3][emoji3][emoji3]
kwel mkuu kwenye ground ndiyo kwenye uhalisiaMkuu MOTOCHINI anayeongea hv angekuwa na tm km mazembe au al ahly ningesema sawa lkn co Simba amtambie Yanga tutakuwa tunajiongopea tu ni km hatujui historia ya hz tm, simba awatambie tm zote za Afrika mashariki lkn co Yanga mkuu, na Yanga nao hivyo hivyo cz tunajuana kiundani mno tunajua mnacholingia nanyi mnajua tunachoringia so mmoja akiona mwenzie anamsumbua sn anajua switch ilipo anazima umeme tunarudi pale pale, btw kwa ss mko vzr kutuzd ila msijiaminishe kwmb ndo mmetuzd kiivyo kwa kuangalia statistics tu, hyo ndo tunachopambana na Wakenya humu waachane na ushuzi wa statistics twende on ground [emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] things should happen naturally and not being arranged mkuu.mkuu we unafaa sana,itabidi unikopeshe ndugu yako[emoji56]
Mkuu hizo rank ni kutokana na mafanikio katika mashindano ya klabu bingwa na kombe la shirikisho. Yanga hampo kwenye mashindano yoyote so uwezekano wa kuporomoka ni mkubwa, kupanda hamuwezi labda mbakie hapo hapo tu.Usiamini ktk hilo ndugu, tm zetu hz cvyo km mnavyozifikiria, unasema ipo mbali sn kwa Yanga unamaanisha nini kwamba tayari ina stadium?.
Au imechukua kombe la Afrika? Au unamaanisha mbali kvp mana cjakuelewa kabisa mkuu na napata tabu kuelewa hii mentality mana mashabiki wengi wameikalili hii, wamechanganywa na treble ya ligi kuu wakasahau kwamba hata Yanga imefanya hivyo juzi tu hapa, hz tm zetu ndivyo zilivyo mwaka huu huyu baadaye huyu pia kutegemea na uongozi uliopo pale tff but usijiongopee kabisa kwamba simba imeizd Yanga yn usiote kabisa mkuu, haipo hyo na haitakuja kutokea hz tm zizidiane kiivyo.
Hii ilitokea hata kipindi kile Yanga ina treble tulikuwa tunasema hivyo hivyo kwamba Yanga imeiacha mbali sn Simba but ukweli haukuwa hivyo miaka michache iliyofuata ndio hv tunavyoona ss, so msijiongopee kabisa ndg na km huamini subiri mwaka huu muone, japo kuna hujuma zitakazoendelea kutokana na uongozi pale tff but mpira utaonekana uwanjani tuombe uhai.
Tanzania inakua na viwanja vingi vyema international routes kuliko Taifa lolote ukanda huuMinofu ya Mwanza [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1557340