Km vile zitto alivyoongea bungeni polisi wameua watu lukuki sijui mkoa gani mkaamua kumsweka ndani[emoji23][emoji23][emoji23]unajifanya chizi fresh wakat mbuge wenu anaongelea bungeni ulikua wapi [emoji23][emoji23][emoji23] unachoshangaa ni kwann munakiliki ndege 3 miaka 50 wakat magufuli miaka minne tayar kanunua ndege 11 brand new
yani loans ioneshwe alaf uniulize mm loan mulichukua wapi kwana wakat pesa za mikopo ya corona munachukua unajua zilienda wapiπππ unajitia upupu kichwaniNaona wenzako wankupumbaza na likes[emoji23][emoji23]
Loan tulichukua wapi?
mbona polisi akiua jambazi hamuongei au jambazi sio watu kwa vile mumezoea wizi ndio maana munaona ajabuKm vile zitto alivyoongea bungeni polisi wameua watu lukuki sijui mkoa gani mkaamua kumsweka ndani[emoji23][emoji23][emoji23]
Huku mbunge akiwa bungeni ana uhuru wa kuongea chochote na bila ya kupelekwa popote pale
Tulikopa wapi hzo ndege[emoji23][emoji23][emoji23]report hii hapa tena iko very clear unajitia uchizi hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1555169
kamuulize kenyatta kwann ndege 3 miaka 50 akujibu πππ nchi imemnyea mkononiTulikopa wapi hzo ndege[emoji23][emoji23][emoji23]
Ilete yote basi
Tulikopa wapi jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
hilo swali muulize kenyatta akujibu kwann nchi inamiaka hamsini inamiliki ndege tatu π π ohh nye nye sisi uchumi mavi ya kengeTulikopa wapi jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna ripoti yako iko nusu nusu jamani msomi
Msaidie mwenzako na wewe, hzo ndege 20 za loan tulichukua wapi[emoji23][emoji23]Wacha upimbi wewe, mwisho utataka kujua hadi kalamu iliyotumika kuandikia hizo loans. Lazima mkubali kwamba nchi yenu ni hovyo.
Huwa tukisema wakenya akili zenu ni ndogo sana mnahisi tunawatukana wakati huo ndio ukweli, ina maana wewe hujui kwamba KQ ilichukua loans nyingi toka katika Banks za ndani ya Kenya na ilishindwa kurudisha hizo pesa mwisho ikalazimisha hizo loans ziwe ndio "shares" za hizo Banks?, sasa hivi Banks zina share kubwa kutokana na KQ kushindwa kulipa.
Tatizo ripoti inaongea tofauti, alafu hyo ya nynyi kufuatiliwa duniani labda taarifa ulitoa chatoTanzania inafuatiliwa sana duniani kwa sasa kutokana na kazi anazofanya Magufuli ni kazi za kipekee kabisa, Kenya tunawafuatilia kutokana na rushwa inayoongezeka, Corona inavyowavuruga na hali ya usalama inavyoendelea kuzorota
Sasa si wewe umesema 20 ni za loan[emoji23][emoji23]yani loans ioneshwe alaf uniulize mm loan mulichukua wapi kwana wakat pesa za mikopo ya corona munachukua unajua zilienda wapi[emoji23][emoji23][emoji23] unajitia upupu kichwani
kwani ulipoletewa link ulisoma au unajitia wehuTulikopa wapi jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna ripoti yako iko nusu nusu jamani msomi
Eti ajabu, swali ni mbna habari ya zitto ya mauaji unaikataa alafu uje uikubali ya mbunge wetu[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]mbona polisi akiua jambazi hamuongei au jambazi sio watu kwa vile mumezoea wizi ndio maana munaona ajabu
nimekwambia 20 leasedSasa si wewe umesema 20 ni za loan[emoji23][emoji23]
Hapa leo hutoki, nina hamu sana leo yakukutoa mapovu
zitto sisi tunamjua vzr sana ππππEti ajabu, swali ni mbna habari ya zitto ya mauaji unaikataa alafu uje uikubali ya mbunge wetu[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Bwahaha!!sasa hyo habari walitoa kw huyo mbunge ndio wakachapisha, uko na data kutoka kq uniwekee hapa..kwani ulipoletewa link ulisoma au unajitia wehu
Povuuuu!!leo naona nimekupata, twende baba wa kujitoa ufahamunimekwambia 20 leased
17 loan not yet paid
3 owned by kq now
unakwama wapi ??[emoji3][emoji3][emoji3] miaka 50 mulikuwepo kwenye soko mukinya mavi tu leo loss inawatandika munaanza kutafuta mchawi
Hata sisi wabunge wetu tunawajua vizuri sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zitto sisi tunamjua vzr sana [emoji116][emoji116][emoji23][emoji23]
munatafuta mchawi wakat laana inawamaliza πππππEti ajabu, swali ni mbna habari ya zitto ya mauaji unaikataa alafu uje uikubali ya mbunge wetu[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Tena mbna jamaa umemnukuu vibaya, si ndege hazileti maendeleo kweli, kwan uongo msomi?[emoji848][emoji848]zitto sisi tunamjua vzr sana [emoji116][emoji116][emoji23][emoji23]