Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna Mkenya nimeona akidai kuwa hizi villas 500 zinazojengwa Zanzibar ni dormitories. Sio kweli ni detouched house. Kila mtu anaishi kwenye nyumba yake. Hakuna mambo yakutumia geti moja. Kuibiana nguo. Kusengenyana.
 
Hivi hapa ni Dar es salaam au Newyork?? Nisaidieni kwa sababu wakenya walidai hapo ni Kenya
 
Kiwanda kipya kilicho funguliwa awamu ya Magufuri cha Touku Garments hiki nacho nikipya kutoka kwao nanichapili ukiachana Kule cha mwanzo. Viwanda vyote na vyoweka nivyaawamu ya Magufuri
 

Attachments

  • FB_IMG_1497491596923.jpg
    27.5 KB · Views: 38
Kiwanda kipya cha Twyford chakutengeza vigae au tiles. Kitatengeneza ajira za watu 2000 direct employment and indirect 3000. Kipo mwenye ujenzi kimejengwa awamu ya Magufuri.
 
Kiwanda cha Keds Tanzania Ltd watengenezaji wa Kleensoft detergent .Kiwanda kikubwa East and Central Africa cha kutengeneza sabun chapili baada ya cha Ghana. Kutengeneza direct employment 1500 na indirect 2500. Kiwanda cha awamu ya Magufuri. Tunaposema Tanzania ya viwanda wakenya waelewe. Magufuri Huyo just in two years.
 

Attachments

  • 4.jpeg
    52.1 KB · Views: 50
  • DSC_6105.jpeg
    7.3 KB · Views: 41
  • DSC_6134.jpeg
    11.2 KB · Views: 47
umekuja kwa pupa sana. kesi ilishaamuliwa na ni kwamba Nairobi iko juu. Darislum wamesema tuwape mji wa Kampala au Lusaka.
Hakuna siku ukaacha kutapika
πŸ˜±πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kiwanda cha Sayona T ltd. Nikiwanda chakutengeneza juice. Direct employment 3000 anajenga pia kiwanda cha Cement kitacho ajili watu 2500 pamoja na shule. Kitakuwa kiwanda cha kisasa with the best technology. Kinajengwa awamu ya Magufuri. Tanzania na serikali ya viwanda Magufuri hoyeee
 
Kiwanda cha Elven Agry chakukausha matunda kwaajili ya solo la nne. Kutengeneza ajira 2000. Kimejengwa awamu ya Magufuri. Magufuri hoyee. Nani Mkenya alijidanganya uchumi wetu utategemea bomba la mafuta?? Tanzania na serikali ya viwanda ya Magufuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…