Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanahitaji kusaidiwa hawajiwezi
 
jaman enh.. angalieni alivyomjibu, sidhan jamaa kama atamnyima JPM hela ya SGR Isaka to Rwanda [emoji7][emoji7]
kaweka na emoji ya upendo kabsa [emoji177]
Naiona Treni imepaki Bugesera Pale 🙂 hahahah

Wale wengin[emoji1139]e updated locomotive imekwamia kwenye vijiji vya hapo katikati.. hawataki tena kuendelea!

Huku bur[emoji1254]aza amempokea Mungu..si muda mrefu atapokea na Treni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mungu Atambariki.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Naivasha Haijafika,im face 2 ya kwao ilikuwa mpaka mpakani lkn waka divert iende Naivasha, Mchina anasua sua kutoa hyo fund kwa sababu haitarudisha faida nzuri.
 
sasa hvi wanafufua reli ya zamani 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…