Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umekasirika kweli, hayo majengo mbna yamejengwa na wapigaji..hakuna engineer aliyehusika hapo, hko ni ghetto boss
 
Heheheheheeee kenya chafu jamani.
 
Mkuu huyo huwa hatumjibu na co kwmb hatumjibu kwasabu anaongea ukweli no, bali huwa anaongea upuuzi kiasi cha kwamba hata Wakenya huwa wanamkaushia ofcz huwa hana ushawishi humu ndani.
Nafaham vizuri sindio huyu alileta mada ya kikwet kujeng km 9000...[emoji23][emoji23][emoji23] ila sasa anaenda kuwa chiz
 
Nafaham vizuri sindio huyu alileta mada ya kikwet kujeng km 9000...[emoji23][emoji23][emoji23] ila sasa anaenda kuwa chiz
Mvumilie tu huyo anataka kulazimisha x kuwa y, eti anataka chadema ichukuwe nchi wkt hata ofisi hawana km co masikhara ni nn [emoji3][emoji3]

Sorry wakuu cpo kisiasa ila ukweli usemwe jmn mana wanaleta masikhara wkt watu tupo serious.
 
Naona umekasirika kweli, hayo majengo mbna yamejengwa na wapigaji..hakuna engineer aliyehusika hapo, hko ni ghetto boss
[emoji23][emoji23] maskini wew dada nakuhurumia[emoji22][emoji22][emoji22]

ghorofa lote kwa ujumla limrkuwa ghetto......?....au ghetto lipo ndani ya part ya ghorofa....?

unaokoelekea soon utakuwa kichaa
 
Km hujui maana ya ghetto tulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…