Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha!!watoto wakali wa NYC ukimuahidi trip ya dubai hatolala
Unakuwa mjinga sana,hao hao watoto wakali wa NYC ukiwaahidi trip ya kibera pia hawatoweza kulala..si huja sana hapo kibera!?!!..kwa hiyo unataka kusema kibera ni bora zaidi ya newyork

Newyork isikie tu mzee,ile city ukidondoka, unaweza kuchanganyikiwa ukawa unacheka tu muda wote,kwanza city ina watu mob wa kila race,night club za strippers mzee from bronx yaani kila kona,hakuna kitu unakosa newyork..NYC offers everything
 
Mbna povu[emoji23][emoji23]
Dubai iache iitwe dubai tu jomba, hata mkeo akipata danga anachagua dubz
 
wakenya huwa si wabunifu ni wazito kifikra ndiyo maana huwa nasema kuwa kwenye sector ya ujenzi wakenya wapo zerooo,,,,mpaka wajengewe ...

mfano mzuri angalia visurburb walivyojenga ni vituko n Kila mwaka huwa vinaanguka...
Jengo lenu la TPA ka design mkenya[emoji23][emoji23] na lile jengo ni kati ya yale bora bongo nzima
 
wakenya huwa si wabunifu ni wazito kifikra ndiyo maana huwa nasema kuwa kwenye sector ya ujenzi wakenya wapo zerooo,,,,mpaka wajengewe ...

mfano mzuri angalia visurburb walivyojenga ni vituko n Kila mwaka huwa vinaanguka...
Suburb gani imeanguka, kwnaza unajua unaongea nini..sometime soma kwanza ulichokiandika before u post
 
Suburb gani imeanguka, kwnaza unajua unaongea nini..sometime soma kwanza ulichokiandika before u post
jifanye kichaa...[emoji56][emoji23][emoji23]

hivi kwa akili ndogo uliyonayo haya majengo wanayojenga contructors wenu wa ndani unaona yapo imara...?

huu ni ujenzi wa uchafu zaidi ,serikali yenu inamatumizi mabaya sana ya kifedha yaani inatoa pesa inamlipa engeneer ajenge uchafu kama huu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Pumba zikiwa nyingi ni shida sana...[emoji848][emoji848].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…