The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Yah sehemu pekee ambapo mwendokasi husimama ni kwenye vituo na kwenye mataa, af pale Tazara kutakuwa na mwendokasi inayoelekea g/mboto na nyingine phase 4 nafikiri inayotokea ubungo to kurasini but foleni haiwezi kuwepo mana nazo zinasimama kwenye mataa japo kungekuwa na flyover nyingine ipite juu ya flyover ya sasa kwa ajili ya mwendokasi za kutokea Ubungo to kurasini ingekuwa poa sn.Lengo la mwendokasi ni kupunguza foleni, na ufanisi wake ni pale phases zote zitakapokamilika, mwendokasi si kwamba haisimami kwenye taa ila ina njia yake maalumu haisimami pamoja na magari mengine so haiwezi tengeneza foleni.
Ikipita chin lazima foleni itarud tenaTazara mwendokasi inapita ground level, ndio maana kuna nafasi kubwa Kati ya zile flyovers mbili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....Wameanzisha Mgomo? [emoji23] huu utakua Phase 7[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watarudi tena wakitengeneza kitu cha kutudolishia.
Mfano: Mobius ikipata Order kadhaa[emoji23]
Ikipita chin lazima foleni itarud tena
Pia mkuu ...ukiangalia raman y phase 3 pale tazara kutakuwa n njia mbil za brt moja itaenda Gongo la mboto na nyingine itapita mandela road mpka buguruni na kuelekea aman kisha k/koo ....sasa kusipo kuwa n plan nzuri linaweza kuja kuleta tatizo kubwa la foleni pale ukizingatia ile ni njia ya portYah sehemu pekee ambapo mwendokasi husimama ni kwenye vituo na kwenye mataa, af pale Tazara kutakuwa na mwendokasi inayoelekea g/mboto na nyingine phase 4 nafikiri inayotokea ubungo to kurasini but foleni haiwezi kuwepo mana nazo zinasimama kwenye mataa japo kungekuwa na flyover nyingine ipite juu ya flyover ya sasa kwa ajili ya mwendokasi za kutokea Ubungo to kurasini ingekuwa poa sn.
Haya majamaa ni majinga sn wallahi [emoji3][emoji3][emoji3]New york
View attachment 1548460
NairobiView attachment 1548464
Kumbe haya majengo mnayotupia humu sio yenu!? Aibu Sana majirani.
Mkuu kumbuka pia kutakuwa na line mbili tofauti za BRT moja ya gongo la mboto n nyingine ya mandela katika phase 3itapita chin.. magari ya mwendokas si mengi kweny hio njia... kule chin mwendokas yataruhusiwa ikiwa magari ya kawaida yataruhusiwa kwenda from left to left lane
Ni phase 2 au phase 3 mkuu.Pia mkuu ...ukiangalia raman y phase 2 pale tazara kutakuwa n njia mbil za brt moja itaenda Gongo la mboto na nyingine itapita mandela road mpka buguruni na kuelekea aman kisha k/koo ....sasa kusipo kuwa n plan nzuri linaweza kuja kuleta tatizo kubwa la foleni pale ukizingatia ile ni njia ya port
Flyover itakuwa kwa ajili ya gari zingine, mwendokasi zitakutana hapo chini - ground level.Yah sehemu pekee ambapo mwendokasi husimama ni kwenye vituo na kwenye mataa, af pale Tazara kutakuwa na mwendokasi inayoelekea g/mboto na nyingine phase 4 nafikiri inayotokea ubungo to kurasini but foleni haiwezi kuwepo mana nazo zinasimama kwenye mataa japo kungekuwa na flyover nyingine ipite juu ya flyover ya sasa kwa ajili ya mwendokasi za kutokea Ubungo to kurasini ingekuwa poa sn.
Kwahyo kuna flyover nyingine itapita juu ya zile zilizokuwepo pale Tazara?Flyover itakuwa kwa ajili ya gari zingine, mwendokasi zitakutana hapo chini - ground level.
Sina Taarifa zaidi ila lazima iwe hivyo, wanaweza tengeneza underpass but mvua za dar na miundombinu ya kuondoa maji si mzuri so sidhani kama itakuwa option kwao.Kwahyo kuna flyover nyingine itapita juu ya zile zilizokuwepo pale Tazara?
Yeah kuna nafasi kati kati inaweza pigwa nyingne ya BRTUnamaanisha pale Tazara ipigwe flyover nyingine ama?
Kama ingekuwa inanyosh tu nyerere road sawa lakin kuna kakipande kanachepukia mandela road...mkuuYeah kuna nafasi kati kati inaweza pigwa nyingne ya BRT