Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umewaza kibongo bongo kabisa yani, yani hko kwenu mnatafuta pesa kw ajili ya njaa kali..

Kwhyo wewe unaweza kuwe kinyumba ka ben pol sio
 
Nguvu ya uchumi sio chakula, ama wewe ukiambiwa ile familia uchumi wao uko vizuri wewe kw akili za haraka tayari utawaza chakula ...

Watanzania saa zote huaga mnawaza chakula, ndio manake mpka karne hii kw kampeni za siasa mnapikiwa wali.
Tell me Gomora, how can a family sustain/afford a decent metabolism without strong economic power at least at their level of living condition/standard?
 
Uwezo wako ya kufikiria na kuchambua mambo ya kiuchumi na kisiasa upo chini sana hilo lipo wazi. Jitahidi utoke huko chini matopeni.
 
Mkuu hilo swali ni kubwa sana na gumu kwa huyo binti/mama Gomora. Yaani kwa hilo swali tu anaweza asionekane humu wiki nzima akisubiri upepo utulie kwanza! ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hehehe!!hvyo ndivyo mmefundishwa saint kayumba, jamani...basi si india watu wangelikua matajiri wote[emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu ngj nione akili yako, haya india watu wangekuwaje matajiri wote twende mpk mwisho uckimbie tafadhali [emoji3][emoji3]
 
Hzo nchi pia private sector ipo vizuri na haiyumbishwi kijingajinga..
Kuna utofauti wa nchi kuwa tajiri na nchi yenye uchumi mkubwa..
Hvyo ni vitu viwili tofauti kaka..

Kazi ya uchumi sio kulisha watu[emoji23][emoji23]
Leo nakubana mpk makalio hayo hutoki leo, haya niambie nani kaongelea habari za private sector na utajiri wa nchi, hapa tunaongelea gdp kwmb inakuwaje gdp yenu kubwa kuliko Tz hapo hapo idadi ya watu kwenu ni ndogo kuliko kwetu which means per capita yenu kubwa kuliko yetu and yet u fail to afford ur basic needs?
 
Nguvu ya uchumi sio chakula, ama wewe ukiambiwa ile familia uchumi wao uko vizuri wewe kw akili za haraka tayari utawaza chakula ...

Watanzania saa zote huaga mnawaza chakula, ndio manake mpka karne hii kw kampeni za siasa mnapikiwa wali.
We mpuuzi ukisikia mtu yule ni maskini mana ake kitu cha kwanza kinamsumbua ni njaa, ukiona mtu anaonekana yupo vzr kiuchumi maana yake kitu cha kwanza hakimsumbui ambacho ni chakula.
 
Na ndiyo msingi wa kila kitu unaanzia hapo.
 
Usifananishe newyork na vitu vya kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ