Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,398
Hayo yote unayoyasema uko sahihi sana,lakini si kwa hizi timu zetu,shida si viongozi,ila system..unaona simba,simba wamebadilisha mfumo wa uendeshaji wa club yao,wamefanikiwa kiasi,japo bado kuna vijimatatizo flani flani hadi mchakato ukamilike,nao ndo watakuwa strong zaidi..yanga wabadilishe mfumo(system) ya uendeshaji wa club,la sivyo usishangae katikati ya huu msimu wachezaji hawa wapya waliosajiliwa wanagoma kisa mishahara!!!..hata aje kiongozi gani pale yanga,kama mfumo haujabadilisha yanga tutaendelea kusota zaidi na zaidiMkuu kiongozi wa juu kabisa ana impact kubwa sn kwa maendeleo ya taasisi husika, nitoe mfano mdogo tu kuna miaka flani WaTz walikuwa wakiamini kwamba Tz haitobadilika hata rais awe nani lkn mm nikawa nawaambia vijana wenzangu kwamba cku tukipata rais makini amini nawaambia hii nchi itabadilika nikawa nawapa mifano ya baadhi ya nchi zilizobadilika mfano Botswana hawakuamini lkn leo nadhani imedhihirika jnc gn kiongozi wa juu anaweza kuwa na impact.
Ss huyu mzee ameshindwa kivyote cz km Yanga ina matatizo je wa kuyatatua ni nani km co yeye? Yeye ndiye anatakiwa awe mtu wa kwanza imara na kucctza kwamba Yanga inaweza, akifanikiwa ktk hilo basi atawaambukiza mpk wana Yanga wa chini kabisa na mambo yataenda, lkn yeye km kiongozi wa juu kasanda unadhani itakuwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]yani nimechekaaaAki ukenya ni ugonjwa. Wameshaita “super car” Shake my head [emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]
Wajinga wa level ya 60s[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Ni kweli kabisa kiongozi, ila unajua haya matatizo ya hz tm zetu ni kubadilishana tu leo simba kesho Yanga kutegemea na mdhamini gn yupo ktk tm yn hizi tm zinaendeshwa kipumbavu sn watu wanazitumia kupiga pesa, hiyo simba haina cha system mpya wala nn mkuu ni yale yale na ukitaka kuamini ngj Mo ajitoe pale wanarudi kule kule, yn system ni tatizo kubwa sana kwa tm zetu na ndiyo maana mpk leo zinahaha kuwa na viwanja vyake wkt uwanja ni kitu kidogo tu kwa brand kubwa km simba na yanga.Hayo yote unayoyasema uko sahihi sana,lakini si kwa hizi timu zetu,shida si viongozi,ila system..unaona simba,simba wamebadilisha mfumo wa uendeshaji wa club yao,wamefanikiwa kiasi,japo bado kuna vijimatatizo flani flani hadi mchakato ukamilike,nao ndo watakuwa strong zaidi..yanga wabadilishe mfumo(system) ya uendeshaji wa club,la sivyo usishangae katikati ya huu msimu wachezaji hawa wapya waliosajiliwa wanagoma kisa mishahara!!!..hata aje kiongozi gani pale yanga,kama mfumo haujabadilisha yanga tutaendelea kusota zaidi na zaidi
Yanga daima mbele,nyuma mwiko
Mkuu hilo swali ni kubwa sana na gumu kwa huyo binti/mama Gomora. Yaani kwa hilo swali tu anaweza asionekane humu wiki nzima akisubiri upepo utulie kwanza! 😀 😀Komora una uwezo mdg sn wa kufikiri, hebu ngoja nikuulize swali dogo tu unaelewa nini mtu anaposema per capita income.
Nitaendelea kukufundisha kwasababu ninajua akili zenu zilivyo, hakuna aliyetaja serikali, tunazungumzia GDP ambayo ni uchumi wa nchi husika, GDP ni matokeo ya uchumi wa wananchi wote kwa pamoja. GDP kubwa maana yake wananchi wanazalisha sana, hatutegemei nchi yenye watu wanaozalisha sana (Bigger GDP), lakini hao wananchi wabashindwa kununua chakula chao wenyewe matokeo yake wanakufa kwa njaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uchumi haulishi watu jomba, uchumi hufungua nyanja tofauti tofauti ndio angalau watu wanapata fursa za kujikuza..
Wala sio huo udubwasha wa kila kitu serikali, kw mfano nenda katika nchi zilizoendelea uone km serikali inafanya kila kitu..
Usiwashangae wakenya wa humu JF, hata viongozi wao pia ni hivyohivyo, uwezo wao wa kuelewa mambo ni mdogo Sana, yaani huwezi amini kama hawa ndio wamefika vyuo vikuu, Africa tuna safari ndefu Sana.Unawezaje ku afford gharama za maisha km pato lako ni dogo? Na unawezaje kuwa na pato la ku afford gharama za maisha km pato la jumla la taifa ni dogo kulinganisha na idadi ya watu ktk nchi husika?
Hehehee!!hta ulaya pia kuna wananchi ambao wanashindwa kumudu mahitaji yao ya kila siku[emoji23][emoji23]Nitaendelea kukufundisha kwasababu ninajua akili zenu zilivyo, hakuna aliyetaja serikali, tunazungumzia GDP ambayo ni uchumi wa nchi husika, GDP ni matokeo ya uchumi wa wananchi wote kwa pamoja. GDP kubwa maana yake wananchi wanazalisha sana, hatutegemei nchi yenye watu wanaozalisha sana (Bigger GDP), lakini hao wananchi wabashindwa kununua chakula chao wenyewe matokeo yake wanakufa kwa njaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehe!!hvyo ndivyo mmefundishwa saint kayumba, jamani...basi si india watu wangelikua matajiri wote[emoji23][emoji23][emoji23]Unawezaje ku afford gharama za maisha km pato lako ni dogo? Na unawezaje kuwa na pato la ku afford gharama za maisha km pato la jumla la taifa ni dogo kulinganisha na idadi ya watu ktk nchi husika?
Hzo nchi pia private sector ipo vizuri na haiyumbishwi kijingajinga..Hizo nchi zilizoendelea pato lake likoje (gdp) ukilinganisha na idadi ya watu?
Hehehe!!hzo ni assumptions tu jomba na wala sio kila mtu anafikia hvyo viwango[emoji23][emoji23]Komora una uwezo mdg sn wa kufikiri, hebu ngoja nikuulize swali dogo tu unaelewa nini mtu anaposema per capita income.
Upo, hta nishalijibu hko chini jomba..una swali na weweMkuu hilo swali ni kubwa sana na gumu kwa huyo binti/mama Gomora. Yaani kwa hilo swali tu anaweza asionekane humu wiki nzima akisubiri upepo utulie kwanza! 😀 😀
Hahahaha, hakuna nchi yoyote ile duniani ambayo ina uchumi mkubwa lakini watu wake wanakosa mahitaji ya msingi.Hehehee!!hta ulaya pia kuna wananchi ambao wanashindwa kumudu mahitaji yao ya kila siku[emoji23][emoji23]
GDP haitafsiriwi kihvyo bwege, mfano mzuri sauzi na naija..
Nguvu ya uchumi sio chakula, ama wewe ukiambiwa ile familia uchumi wao uko vizuri wewe kw akili za haraka tayari utawaza chakula ...Hahahaha, hakuna nchi yoyote ile duniani ambayo ina uchumi mkubwa lakini watu wake wanakosa mahitaji ya msingi.
Actually nchi zilito na uchumi mkubwa zimefikia hatua ya kulipa pesa kwa kila raia wake asiye na ajira ili aweze kupata mahitaji ya msingi kama food, rent, health insurance and Education.
USA ndio kuna matatizo kutokana na historia ya nchi yao kutokana na "racism na massive influx of foreigners".
Actually kama umesoma historia ya maendeleo ya binadamu inaonyesha kwamba, Chakula ndio kilikua ni kigezo cha kwanza kilichokua kinatumika kujua mtawala mwenye nguvu za kiuchumi, kabla ya matumizi ya pesa kuanza kutumika.
Hakuna familia au jamii yotote yenye nguvu za kiuchumi lakini wanafamilia au wananchi wake wanakufa kwa njaa, hicho kitu hakipo duniani.
Dubai watu ambao hawana chakula na wanalala barabarani lazima kuna savant zifuatazoHehehe!!hzo ni assumptions tu jomba na wala sio kila mtu anafikia hvyo viwango[emoji23][emoji23]
Unakuta nchi ina per capita ya zaidi ya $50k lkn bado utakuta miji yao kumejaa watu homeless km nini..
Kw mfano new york na dubai, kw akili za haraka haraka new ina uchumi mkubwa..
Lkn ukiangalia vitu kw groun NYC ina wazawa kibao kw street wanayumba kimaisha..
Narudia tena, uchumi sio chakula bali ni level ya ukuzaji wa bidhaa na huduma za viwango
Lengo la uchumi ni ili mtu ama nchi iweze kujipatia mahitaji ya msingi ya binadamu, hilo ndio lengo kuu la binadamu yeyote kufanya kazi ili kupata uchumi, hayo mengine ni ziada tu.Nguvu ya uchumi sio chakula, ama wewe ukiambiwa ile familia uchumi wao uko vizuri wewe kw akili za haraka tayari utawaza chakula ...
Watanzania saa zote huaga mnawaza chakula, ndio manake mpka karne hii kw kampeni za siasa mnapikiwa wali.
Sasawa ze la uchumi mkubwa"chakula"[emoji122][emoji122]Lengo la uchumi ni ili mtu ama nchi iweze kujipatia mahitaji ya msingi ya binadamu, hilo ndio lengo kuu la binadamu yeyote kufanya kazi ili kupata uchumi, hayo mengine ni ziada tu.
Hakuna duniani, tena ninarudia kwa msisitizo, uchumi wa mtu au nchi hauna maana kama huo uchumi haujamaliza shida ya chakula, maji na malazi.
we komwe una utoto mwingi....Sasawa ze la uchumi mkubwa"chakula"[emoji122][emoji122]