Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

watanzania tanzajingans jameni kujeni muoneeeeeee woiiii muko wapii tazameni hii video mkazimie huko ubungo sijui waoi
 
wajua nilikuja kugundua ya kwamba the whle of dareesalaam looks like kibera. Poor country. Kazi yao ni kujigamba na zile buildings tatu walijenga juzi pale dareesalaam , halafu town yeneyewe ya dar is poorly planned.
 
Wanjala bhn, ss hiyo c ni baadhi tu ya sehemu km mnavyofanya mara nyingi kuweka picha moja angle tofauti lkn uki zoom eneo husika ni uchafu kushoto kulia [emoji3][emoji3][emoji3]
 
watanzania tanzajingans jameni kujeni muoneeeeeee woiiii muko wapii tazameni hii video mkazimie huko ubungo sijui waoi
wajua nilikuja kugundua ya kwamba the whle of dareesalaam looks like kibera. Poor country. Kazi yao ni kujigamba na zile buildings tatu walijenga juzi pale dareesalaam , halafu town yeneyewe ya dar is poorly planned.
Huyu nahisi ni janerose mzalendo huyu, ss utabadili ID mpk lini miss Kibera [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…