babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,453
- 36,096
Kama kawaida yale malori ya mizigo yaliyobadilishwa na kuwa mabasi ya kubeba abiria.Ushuzi mwingine huo hapo unaitwa kimilili, yn wanaposema Tz has the most urbanized regions across EAC tuwe tunaelewana, hawa wengine maendeleo yameji concentrate kwa mji mmoja tu kwengine ni shuzi la tembo.
Kimilili hii hapa ambayo wanjala anaicfia ina better roads [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1545293View attachment 1545294View attachment 1545295View attachment 1545296
Japokuwa mimi ni Simba dam dam, hiyo idea yako ni nzuri sana, ngoja nimwambia Manara tuje tuwapiku. 🙂Mkuu mm mda mrefu nimekuwa na Idea kwa hz tm zetu hz kuhusu kujitegemea, mfano niichukilie tm yangu pendwa ya Yanga wanashindwa nn kujenga uwanja? Tm yenye rasilimali watu km Yanga? Wafanye hv [emoji116][emoji116]
Waingie ubia na benki flani mfano crdb au nmb zen kupitia benki husika wawahimize washabiki wa Yanga wachukue kadi ya kielektroniki ya Yanga ambayo kupitia hyo kadi shabiki ataweza ku deposit au ku withdraw amount kwenda au kutoka benki.
Hizo kadi zitolewe bure ila ziwe na kianzio fulani ambacho hakitakuwa kikwazo kwa shabiki kumiliki, yn hyo kadi ipatikane ktk kila branch ya benki husika nchi nzima na washabiki wahimizwe nchi nzima kupitia vyombo vyote vya habari.
Baada ya hapo Yanga iwe ina hakiki idadi kamili ya mashabiki zen Yanga wachukue mkopo toka benki husika kwa kuanzia inaweza kuchukua hata bilioni 30 zen watafute eneo ambalo km wataomba serikalini watapewa bure, zen watangaze tenda ma engineer wajenge uwanja.
Wakati uwanja unajengwa kuwe na update za kila mara zikionesha hatua za ujenzi na hapo hapo mashabiki wahimizwe wawe wanachangia rejesho, mfano kima kiwe kuanzia elfu moja yn kila mwezi shabiki awe anachangia buku kima cha chini ili tuwe tunarejesha rejesho.
Hiyo accnt ya rejesho iwe wazi yn kiasi mtu akichangia akione live bila chenga, hv unadhani kwa mshabiki wa kweli atashindwa kuchangia tm yake wakati uwanja anauona? Na nadhani WaTz nadhani wanajulikana kwa mapenzi ya kweli pale anapoona ukweli umetawala ktk jambo fulani.
Hiyo bilioni 30 unapata uwanja mzr tu wa kuanzia ambapo baada ya kukamilika na kumaliza deni tutauongeza taratibu kulingana na mahitaji mpk tunakuwa na uwanja wa kimataifa, hilo nalo linatushinda kweli mpk tm zetu kubwa hivi zenye mvuto na credibility ya kutosha zinakosa viwanja???
Hawa jamaa kiukweli hatufanani nao hata kidogo, kilichokuwa kinawaaminisha watu wadhani wametuzd ni miundombinu pale Nairobi hasa hasa kile ki flyover cha matofali na kile kingine na mwisho kale ka road kao ka thika ambapo zote hzo tushalipa na wamebakiwa na deni la three level interchange na gape lingine la electric train ambalo hawawezi kulilipa kwa kizazi cha walevi km hiki but kwa maisha ya kawaida kiukweli tumewaacha mbali mnooo.Kama kawaida yale malori ya mizigo yaliyobadilishwa na kuwa mabasi ya kubeba abiria.
[emoji3][emoji3][emoji3] nataka kuipeleka makao makuu pale jangwani ila tatizo viongozi wa kiafrika rushwa imewajaa wanajifikiria wao tu pia wanapenda mafanikio ya haraka sidhani kama watafanya hivi.Japokuwa mimi ni Simba dam dam, hiyo idea yako ni nzuri sana, ngoja nimwambia Manara tuje tuwapiku. 🙂
Pia mkuu mm nna plan nyingi sana kuhusu tm yng ya Yanga km wakipata muda wa kunisikiliza kwa makini miaka kumi ijayo yanga itakuwa ni daraja la wachezaji makinda wa kitanzania kwenda Europe.Japokuwa mimi ni Simba dam dam, hiyo idea yako ni nzuri sana, ngoja nimwambia Manara tuje tuwapiku. 🙂
Hili la tatizo la uongozi ni kweli kabisa, nakumbuka akina Rage na Ndolanga walivyoifanya FAT yao na kuwaibia wachezaji pesa zao za CAF.[emoji3][emoji3][emoji3] nataka kuipeleka makao makuu pale jangwani ila tatizo viongozi wa kiafrika rushwa imewajaa wanajifikiria wao tu pia wanapenda mafanikio ya haraka sidhani kama watafanya hivi.
Mm huwa nashangaa sana tm tajiri km simba na yanga zinakosaje viwanja vya kisasa ambapo utajiri wake km zitaamua czan km mtu km Bakhressa anaweza akatia mguu, hata wakisema wenye kadi ya kielektroniki ya yanga kila wiki wachangie kima cha chini 1000 inawezekana mana buku ni ndogo sana hata kwa mtu wa kawaida isitoshe mtu akiona uwanja unajengwa anapata hamasa, na hapo cjawagusa wenye pesa zao km kina GSM, Kikwete au Tarimba cz hzo kadi ziwe tofauti ziwepo za royal ambao watachangia kila wiki minimum elfu 10 na zile za ordinary ambapo wataanzia 1000, tunajenga uwanja kabisaa mkuu tena wa kisasa kabisa.Hili la tatizo la uongozi ni kweli kabisa, nakumbuka akina Rage na Ndolanga walivyoifanya FAT yao na kuwaibia wachezaji pesa zao za CAF.
Kuwapa kadi za kieletroniki itakuwa ni rahisi sana kuwatumia mashabiki kama leverage, hata kuombea mkopo benki kwa kutumia kigezo cha idadi ya wanachama na ukitaka kuchangisha pesa unatuma tuu ujumbe kwa wanachama, hela inaingia.
U nailed it [emoji122][emoji122][emoji122]
U nailed it [emoji122][emoji122][emoji122]
Hao madaktari sura zao zaonyesha dhahiri kwamba wako na shida mob
The first time i passed near by this slum on my way to Karen in 2007 (during the General election) I thought I was lost (not in Kenya). I could not believe what I saw with my two naked eyes, I was shocked to see such kind of poor human settlement in the city that boasted to be a developed one in the region! I was really saddened by this kind of mabanda ya nguruwe settlement.Few kilometers from upperhill [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1540490
Kufanya ishu kama hiyo inabidi kuwepo na uongozi imara ambao sio wapigaji.Mkuu mm mda mrefu nimekuwa na Idea kwa hz tm zetu hz kuhusu kujitegemea, mfano niichukilie tm yangu pendwa ya Yanga wanashindwa nn kujenga uwanja? Tm yenye rasilimali watu km Yanga? Wafanye hv [emoji116][emoji116]
Waingie ubia na benki flani mfano crdb au nmb zen kupitia benki husika wawahimize washabiki wa Yanga wachukue kadi ya kielektroniki ya Yanga ambayo kupitia hyo kadi shabiki ataweza ku deposit au ku withdraw amount kwenda au kutoka benki.
Hizo kadi zitolewe bure ila ziwe na kianzio fulani ambacho hakitakuwa kikwazo kwa shabiki kumiliki, yn hyo kadi ipatikane ktk kila branch ya benki husika nchi nzima na washabiki wahimizwe nchi nzima kupitia vyombo vyote vya habari.
Baada ya hapo Yanga iwe ina hakiki idadi kamili ya mashabiki zen Yanga wachukue mkopo toka benki husika kwa kuanzia inaweza kuchukua hata bilioni 30 zen watafute eneo ambalo km wataomba serikalini watapewa bure, zen watangaze tenda ma engineer wajenge uwanja.
Wakati uwanja unajengwa kuwe na update za kila mara zikionesha hatua za ujenzi na hapo hapo mashabiki wahimizwe wawe wanachangia rejesho, mfano kima kiwe kuanzia elfu moja yn kila mwezi shabiki awe anachangia buku kima cha chini ili tuwe tunarejesha rejesho.
Hiyo accnt ya rejesho iwe wazi yn kiasi mtu akichangia akione live bila chenga, hv unadhani kwa mshabiki wa kweli atashindwa kuchangia tm yake wakati uwanja anauona? Na nadhani WaTz nadhani wanajulikana kwa mapenzi ya kweli pale anapoona ukweli umetawala ktk jambo fulani.
Hiyo bilioni 30 unapata uwanja mzr tu wa kuanzia ambapo baada ya kukamilika na kumaliza deni tutauongeza taratibu kulingana na mahitaji mpk tunakuwa na uwanja wa kimataifa, hilo nalo linatushinda kweli mpk tm zetu kubwa hivi zenye mvuto na credibility ya kutosha zinakosa viwanja???
Kwa simba ishu ya kadi za kieletroniki walishaanzaga kitamboJapokuwa mimi ni Simba dam dam, hiyo idea yako ni nzuri sana, ngoja nimwambia Manara tuje tuwapiku. 🙂
[emoji3][emoji3][emoji3] nataka kuipeleka makao makuu pale jangwani ila tatizo viongozi wa kiafrika rushwa imewajaa wanajifikiria wao tu pia wanapenda mafanikio ya haraka sidhani kama watafanya hivi.
Nampataje mkuu.Mtafute Dr.Msola atalifanyia kazi
Maneno mengi lkn bado hawako serious walizotoa km show off tu mkuu.Kwa simba ishu ya kadi za kieletroniki walishaanzaga kitambo
Hela ya Kujenga iliyotumika Stand ya Dar na Dodoma 73bil inawez jenga Stadium mbili za 40,000 na 30,000 seatshuwa nasemaga.. mpira wa miguu Tanzania tunaupenda na tumeshauweka moyoni kbsa [emoji1][emoji1].. kilichobaki ni serikali ni kujenga viwanja kama hiv miji mikuu kwanza kama mitatu hiv.. Dodoma, Morogoro, Mbeya au Mwanza au Arusha kule
nashukuru Magu alisema, hata polepole juzi alisema secta ya michezo imehusika sana na kukua kwa uchumi, hivyo hataiacha hivhiv bila kufanya kitu awamu hii inayofuata
Mwangu idea safi sana....nimeikubaki billion 30 ni kubwa inakupa uwanja hata wa 40,000 seats which ni sawa na stamford kasoro utakosa facilities muhimu za ndani which uta upgrade kidogo...idea nyingne nzuri ni kama ile iliyotumika kujenga Kigamboni bridge....Unawaftwata Pspf au nssf wanajenga uwanja ..wanaumiliki wao mpka muda hela yao ikirudi then uwanja wao..in return yanga wana advertise nssf na waanahakikisha wanachama wao wako nssf au pspf ..Bil 30-40 pesa ndogo na Yanga wana mashabiki wakutosha kujaza uwanja mechi za homeMkuu mm mda mrefu nimekuwa na Idea kwa hz tm zetu hz kuhusu kujitegemea, mfano niichukilie tm yangu pendwa ya Yanga wanashindwa nn kujenga uwanja? Tm yenye rasilimali watu km Yanga? Wafanye hv [emoji116][emoji116]