π dah!Heheheheheeee mkuu kuhusu hili suala la wese Magu atapambana mpk kieleweke mana hisia zake zinamuambia kabisa wese haliwezi kosa Tz piga ua na hata viashiria vingi vinaonesha hivyo, pia Magu anataka agundue wese ili aanze kutoa mikopo ya riba nafuu kwa nchi zngne ikiwemo kenya zen washindwe kulipa akachukue lamu port [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Miji yao yote wanaringia hapa ukisogea mbele kdg unakutana na uharo wa chizi.
Enzi zile wakiteuliwa kitu cha kwanza wanaenda kufanya shopping ughaibuni lakini sasa hivi wakiteuliwa direct ni kwenda kuanza kufanya kazi mara moja [emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania mpya, yn tunawarudisha home mabalozi wasiofanya kazi ipasavyo huyo apo PM, pia kuna kamstari nadhani kamjibu wanjala na wakora wenzake[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Majaliwa, tutawarudisha nyumbali walioshindwa kutangaza utaliiView attachment 1541185
View attachment 1541186
Dah hatimaye wametusikiliza kilio chetu, me nna uhakika mkulu ni member wa Jf na mana mambo mengi km huwa anapiga chabo humu cz tunachoongea humu kinaenda vile vile [emoji122][emoji122]
Huu msumari wa moto sn kwa Wakenya hawanaga majengo classic km yetu.
Zile nazo zikiisha itakuwa poa sana aisee, wamalizie hzo zen ndo waachane kdg na mambo ya buildingsafadhar asee.. hili dude limekaa sana bila chochote kufanyika... bado zile za kawe
Na hapo kuna Wakinga na watu kibao hawako kwenye takwimu kwasababu wanavyojiweka na biashara zao ziko nje ya mfumo rasmi.
Na uckute [emoji115][emoji115] tunachati naye humu c unajua mzee haachi kitu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dah hatimaye wametusikiliza kilio chetu, me nna uhakika mkulu ni member wa Jf na mana mambo mengi km huwa anapiga chabo humu cz tunachoongea humu kinaenda vile vile [emoji122][emoji122]
Finally πππππ
Bongo Dar es SalaamCredit.. Account ya Twitter : Tanzania Hotels View attachment 1541265View attachment 1541267View attachment 1541266
Kenyan english!!!!??!!????!!????π€£ππππππππ€£π€£Thats exactly why I asked what they are called in TANZANIAN ENGLISH πΉπΉ. Kenyan English we refer to them as slums, that's why it's easy to search, find slums of Nairobi.
Tanzanian english and Kenyan english is like, say, UK and American english. They have different words for similar things.
So, I ask again, how do you guys refer to such?πΉπΉπΉ