Utaskia wamekopa tena hela ya kununulia.Wooiiii jirani hao wanaenda kuchezea dole la kati a.k.a middle finger [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Kenya Kupokea Chanjo ya COVID19 Kutoka Urusi, Balozi wa Urusi AthibitishaView attachment 1540880
Dude no one knows anything about Tanzania here, acha kulazimisha vitu......ni vitu kidogo sana wakenya wanajua kuhusu Tanzania tuambiane ukweli tuache unafiki..wakenya wenyewe hawafatilii ligi ya kwao ni ya Tanzania watafatilia???hizi akili zenu mwazijua wenyewe
Few kilometers from upperhill [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1540490
Hatunaga habari nao kabisa mfano mm nmeanza kuwajua jua kanchi kao baada ya kuja humu Jf kabla ya hapo nilikuwa nikiwasikia wakijisifu sifu nkajua wametuzd kweli lahaaulaaa baada ya kuingia Jf nakutana na shuzi la bundi [emoji3][emoji3][emoji3]Kati ya mtanzania nani mkenya anaongoza kufuatilia mambo ya mwenzie? Nimewahi sikia Samata ni mkenya, Magufuri, Mt Kilimanjaro iko kenya, Tanzanite, Diamond Platnumz, Olduvai gorge... na mengine kibao, nitajie japo kitu kimoja mbongo alifuatilia kuhusu kenya na hata akaclaim ni chake [emoji23][emoji23][emoji23]
Heheheheheeee yn cku tukigundua hii kitu wallahi ukanda huu mtatueleza vzr cz kila kitu tunacho bado hii kitu tu na kwa takribani ya jiografia ya Tanzania ni lazima mafuta yapo tena mengi kupita nchi yyte Southern, East and Central of Africa ni suala la muda tu [emoji116][emoji116]
Utafutaji mafuta na gesi asilia Singida na matumaini ya neema Tanzania
Tanzania go go gooooView attachment 1540564
Heheheheheeee mkuu kuhusu hili suala la wese Magu atapambana mpk kieleweke mana hisia zake zinamuambia kabisa wese haliwezi kosa Tz piga ua na hata viashiria vingi vinaonesha hivyo, pia Magu anataka agundue wese ili aanze kutoa mikopo ya riba nafuu kwa nchi zngne ikiwemo kenya zen washindwe kulipa akachukue lamu port [emoji3][emoji3][emoji3]Bonde la ziwa Rukwa nalo kuna utafiti unaendelea wa mafuta, Dizeli toka enzi za Nyerere ipo kule ukiachana na Helium iliyogundulika juzi.. Najivunia sana hizi movements maana now tuna nafasi sasa ya kuingia mikataba yenye manufaa kwa taifa chini ya JPM [emoji1548]
Niongeze volume au inatosha [emoji116][emoji116]
PM: Tanzania ya kwanza Afrika kusambaza umemeView attachment 1540869
Heheheheheeee mkuu kuhusu hili suala la wese Magu atapambana mpk kieleweke mana hisia zake zinamuambia kabisa wese haliwezi kosa Tz piga ua na hata viashiria vingi vinaonesha hivyo, pia Magu anataka agundue wese ili aanze kutoa mikopo ya riba nafuu kwa nchi zngne ikiwemo kenya zen washindwe kulipa akachukue lamu port [emoji3][emoji3][emoji3]
Ngj man power ipungue pungue kdg c wanasema kenya kuna tatizo kubwa la ajira kuliko nchi yoyote EA.Hivi hawa majirani hawashtuki tu
Covid-19: Two tests, different results Covid-19: Two tests, different results
[emoji23][emoji23][emoji23] umewashika ma kende.Kati ya mtanzania nani mkenya anaongoza kufuatilia mambo ya mwenzie? Nimewahi sikia Samata ni mkenya, Magufuri, Mt Kilimanjaro iko kenya, Tanzanite, Diamond Platnumz, Olduvai gorge... na mengine kibao, nitajie japo kitu kimoja mbongo alifuatilia kuhusu kenya na hata akaclaim ni chake [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ndo raha tulionayo...Rasilimali nyingi ya kwetu ilikuwa bado haijafichuliwa......Asante Mungu ,Tuna JPM na mikataba dhabiti.....ni kwa nini tusiwe kama Ulaya???Bonde la ziwa Rukwa nalo kuna utafiti unaendelea wa mafuta, Dizeli toka enzi za Nyerere ipo kule ukiachana na Helium iliyogundulika juzi.. Najivunia sana hizi movements maana now tuna nafasi sasa ya kuingia mikataba yenye manufaa kwa taifa chini ya JPM [emoji1548]
kenya ina laana ya kila aina......Sijawahi kuona nchi yenye vituko km kenya, jamaa kawapiga mimba dada zake wa3 af umri wao ss 12, 14 na 17 aisee kweli ni failed state [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kisa cha Jamaa Aliyewatunga Mimba Dada Zake Watatu Chini ya Mwaka MojaView attachment 1540891
Hata huyu wameanza kusema eti ni mkenyaKati ya mtanzania nani mkenya anaongoza kufuatilia mambo ya mwenzie? Nimewahi sikia Samata ni mkenya, Magufuri, Mt Kilimanjaro iko kenya, Tanzanite, Diamond Platnumz, Olduvai gorge... na mengine kibao, nitajie japo kitu kimoja mbongo alifuatilia kuhusu kenya na hata akaclaim ni chake [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mkemya anayelijua hilo jina[emoji23][emoji23]Watanzania huwa hatuandikii mate humu huwa tunakuja na ushahidi na sio kutumia makasiriko kubishana.
Opera news[emoji23][emoji3][emoji3]Wooiiii jirani hao wanaenda kuchezea dole la kati a.k.a middle finger [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Kenya Kupokea Chanjo ya COVID19 Kutoka Urusi, Balozi wa Urusi AthibitishaView attachment 1540880
Kwa ninachokiona Tz itakuwa inatoa mikopo na Wallah naapa naiona Kenya km mteja wetu wa kwanza kwenye mambo ya mikopo....Magufuli aliongea mara kadhaa kuwa sisi ni Matajiri mara paap ..wakatutangaza wenyewe.kwa nini ishindikane kuwa km Ulaya??????Heheheheheeee mkuu kuhusu hili suala la wese Magu atapambana mpk kieleweke mana hisia zake zinamuambia kabisa wese haliwezi kosa Tz piga ua na hata viashiria vingi vinaonesha hivyo, pia Magu anataka agundue wese ili aanze kutoa mikopo ya riba nafuu kwa nchi zngne ikiwemo kenya zen washindwe kulipa akachukue lamu port [emoji3][emoji3][emoji3]
Hehee!!nitajie magavana wetu kwanza niskie rahaHatunaga habari nao kabisa mfano mm nmeanza kuwajua jua kanchi kao baada ya kuja humu Jf kabla ya hapo nilikuwa nikiwasikia wakijisifu sifu nkajua wametuzd kweli lahaaulaaa baada ya kuingia Jf nakutana na shuzi la bundi [emoji3][emoji3][emoji3]
na hivyo ndivyo baadhi ya wa Tz wasio tembea hufikiriHatunaga habari nao kabisa mfano mm nmeanza kuwajua jua kanchi kao baada ya kuja humu Jf kabla ya hapo nilikuwa nikiwasikia wakijisifu sifu nkajua wametuzd kweli lahaaulaaa baada ya kuingia Jf nakutana na shuzi la bundi [emoji3][emoji3][emoji3]