Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na Iwe FUNZO

BATTLE? 😹😹😹 WHAT BATTLE!?
 
Unawashangaa waturkana kwamba Wana hela alafu wanakula mizoga ya punda!? Mbona viongozi wanaiba hela zaidi ya trillioni nne za Corona alafu wanashindwa kuwalipa madaktari mishahara?
Madakatari wa nairobi hawalipwi na wanasiasa
 
Hehehe!!hyo link yote umeona hyo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli umechanganyikiwa, hta zile za ksh 30m achana nazo..nilete kijitonyama za ksh 20m tu
Acha ujinga nilisha kwambia ziko za mill 300 ukakata...tn siyo moja au mbili...so tuliza wenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…