Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona unaiongelea tz hku ukijifariji na kenya[emoji23][emoji23]..
Mimi ukiniuliza RC wa mwanza simjui, lkn weww nina uhakika hku unajua mawaziri, magavana na wabunge kadhaa[emoji23][emoji23]
 
Uswazi and slums is quite different anyway this is town but you can't find an area ambayo iko close na kibera hata katika town level[emoji23][emoji23] ba thing is Iringa Town is not much popular
Hehehe!!mkibanwa mnakimbilia kujilinganisha na slums
 
Naona unaiongelea tz hku ukijifariji na kenya[emoji23][emoji23]..
Mimi ukiniuliza RC wa mwanza simjui, lkn weww nina uhakika hku unajua mawaziri, magavana na wabunge kadhaa[emoji23][emoji23]
Naona unalazimisha kuwafaham viongoz wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona unaiongelea tz hku ukijifariji na kenya[emoji23][emoji23]..
Mimi ukiniuliza RC wa mwanza simjui, lkn weww nina uhakika hku unajua mawaziri, magavana na wabunge kadhaa[emoji23][emoji23]
huo ni uzembe, ndio sababu tunawazomea kwenda kusomea kiingereza tu shuleni.

yaani ushindwe kufaham waziri wa utalii tz, ila unamjua wa mambo ya nje ufaransa. hicho ni kiherehere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…