Ninyi endeleeni kubugizwa takataka za pumba zenye ladha ya maziwa na uhuru mkijidanganya mnakunywa organic milk, kumbe mnakunywa maharage ya soya. 🚮🚮🚮🚮Ile siku utajua maana ya design capacity na demand capacity ndio utaelewa hayo mambo
ni kweli kabisa[emoji23][emoji23]hii stand haipatikani popote kenya[emoji23][emoji23]
ndiyo mkuuHii ni bus terminal ya Sumbawanga Sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuuhh!!!!
Kisha?Alafu wehu fulani wanaweka mchuma juu ya jengo na kusema wanajengo refu
Hahahaha. Ndinda acha ukora. Jumba nzuri lakini napajua liliposimama.
Hahahaha. Ndinda acha ukora. Jumba nzuri lakini napajua liliposimama.
Tanzania private sector haifiki hata nusu ya kenyaMambo ni moto