Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata kwa mbinde sipandi, hapo si ukitoka unanuka ushuzi..
Kumbe akina ndinda huingia na kunikishiana vikwapa
acha ushamba tembea ujioneee,,,,,,
.
masuala ya population kubwa kwenye vyombo vya usafiri ni vitu vya kawaida tu hasa mida ya asubuhi na jioni...
hali kama hii ipo kila taifa ukitaka kujiachia kwa mida kama hiyo kuwa kwenye usafiri wako......[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani uko na wenge sana ww ....swala la kuwa na street vendors Dar siyo shida ila kwamaeneo nliy post hakukuwa na hao street venders...acha ujinga hapo kwenu ndio hayari tupu...pimbi wewe....kusu watu kujaa kweny BRT ni kawaid hasa mda wa peakhours(rush time) kwani nyie mko sayari gani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...nenda hata Japan utaelew....View attachment 1532067
 
Yani hawa bado sana wanaonekana wapo dunia ya pekeyao ...na upimbi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…